Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
SCENARIO
Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya.
Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira...
FLACK BACK
Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu.
Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo.
Hebu cheki huu Uzi 👇👇👇👇
Lakini pia ukisoma Uzi wa "Kulana Kimasihala" utakuta raia mule Zina pesa za kuhonga hela ndefu na kulipia lodge za 50k, 100k na kuendelea.
THE PROBLEM
Nimebaki najiuliza maswali mengii...
1. Hela zimewaishia then wameona wakapokee za Hazina ya CCM?
2. Ualimu umeanza kuwa dili kwao?
3. Zile pesa walizotumia kula Kimasihala kutoka kwenye madili yao zimeisha then wanahitaji ajira?
4. Baada ya dharau zotee kwa ualimu na walimu, ina maana ualimu umekuwa Tena dili?
JF banaaa .......
The bilioneas are sakaling ajira.
Haya bana tuendelee kutafuta hela.
#YNWA