Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Binafsi nishakutana physically na wanajf kadhaa.maisha ya kawaida tu,kuna wengine humu tena mademu ambao kila uzi huwakosi ila wana njaa hatari.wanapiga vizinga hadi ela ya kununua umeme.
Duh real?
 
[emoji23][emoji23] kwamba hao wanawake wanapatikana wapi au?[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mbona mimi siwapati au nina kasoro??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waache dharau.
Wasuburi nafasi zitoke wakafanye Kazi.

DHARAU MBAYA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…