Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Watanzania wengi sana wanaishi kwa CHUKI inayosababishwa na WIVU Mkali.

Wengi wanaficha ficha hili kwasababu Wana DNA ya UNAFIKI.

Nakuthibitishia hili, Hakuna watu wanaoongoza kuchukiwa na watu kama wale wenye kipato fulani, aidha MTUMISHI au Mfanyabiashara mwenye vipesa fulani.

Na Kama kungekuwa na Chama Cha siasa ambacho sera yake Ni kudhibiti Watumishi na Wafanyabiashara, basi kingepata wafuasi wengi sana.

Unakuta jitu linaponda kazi fulani mbaya na hailipi, kumbe lenyewe linaitaka hiyo kazi.
Kweli aisee.
 
Mm nadhani ishu ni je kabla hizi ajira wao walikuwa wanaishi maisha gani.? Maisha yalikuwa yanaendelea hata nje ya hizo ajira.
Kuna watu walikuwa wanawadharau polisi na kuwaona hawana utu, nidhamu, wanaishi makazi duni, nguo zao zimechangia n.k hasa kile kipindi cha Mbowe kushikiliwa lakini ajira za polisi zilipotoka hao hao wakaanza kutuma maombi.
Tatizo linakuja pale kila mtu anajiona yuko sawa kwa upande wake.
Ajira za polisi zilitoka lini wakati Mbowe anashikiliwa?
 
Binafsi nishakutana physically na wanajf kadhaa.maisha ya kawaida tu,kuna wengine humu tena mademu ambao kila uzi huwakosi ila wana njaa hatari.wanapiga vizinga hadi ela ya kununua umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila we kyagata una mdomo ww
 
Tunawasaidia wadogo zetu kutuma maombi ya kazi
Sasa mbona maswali ya ""Matatizo ya mfumo huwa mnajibu personal""

Utasikia Course Yangu siioni?
Mbona email yangu haikubali?
Mbona chuo changu hakionekani?

Sasa una apply kwa ajili ya mdogo wako hiyo YANGU ni ya nani?

#YNWA
 
SCENARIO
Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya.

Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira...

FLACK BACK
Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu.
Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo.

Hebu cheki huu Uzi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Lakini pia ukisoma Uzi wa "Kulana Kimasihala" utakuta raia mule Zina pesa za kuhonga hela ndefu na kulipia lodge za 50k, 100k na kuendelea.

THE PROBLEM
Nimebaki najiuliza maswali mengii...
1. Hela zimewaishia then wameona wakapokee za Hazina ya CCM?
2. Ualimu umeanza kuwa dili kwao?
3. Zile pesa walizotumia kula Kimasihala kutoka kwenye madili yao zimeisha then wanahitaji ajira?
4. Baada ya dharau zotee kwa ualimu na walimu, ina maana ualimu umekuwa Tena dili?

JF banaaa .......

The bilioneas are sakaling ajira.

Haya bana tuendelee kutafuta hela.
#YNWA
Naona wanajifanya Uzi hawauoni[emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Humu ndani tajiri wa uhakika ni Kiduku Lilo tu. Kwake Lamborghini ni kwaajili ya shamba boy na house girl.
 
Sasa mbona maswali ya ""Matatizo ya mfumo huwa mnajibu personal""

Utasikia Course Yangu siioni?
Mbona email yangu haikubali?
Mbona chuo changu hakionekani?

Sasa una apply kwa ajili ya mdogo wako hiyo YANGU ni ya nani?

#YNWA
Ishu inakuja unaona hakuna haja ya kuanza kusema 'mbona Email ya huyu dogo nayemuombea inazingua' au 'mbona chuo cha huyu dogo nayemuombea hakipo' ww mwenyewe lazima uone uvivu wa kuandika maneno mengi kwahy n bora uende kwa ufupi mana kuomba kazi flan sio aibu wala dhambi
 
Naona wanajifanya Uzi hawauoni[emoji23]
Wapo kwenye magari yao, yamepaki nje ya magheto yao makali, huku wanapesa mingi kwenye walet, wakielekea kula pisi kaliii kimasihara..!!!

#YNWA
 
Hayo ni maisha ya mtandaoni wakihitaji msaada kwa ajili ya real life wapeni tu wazungu wenyewe wanakuambia fake it untill you make it real😄😄
 
Back
Top Bottom