Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Ataomba kwaajili ya mbwa wake, mbwa apate kuji keep busy kidogo asiwe bored[emoji23]Utajuaje kama nae ana ID mpya yuko hapa Jukwaani kuomba hizi kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataomba kwaajili ya mbwa wake, mbwa apate kuji keep busy kidogo asiwe bored[emoji23]Utajuaje kama nae ana ID mpya yuko hapa Jukwaani kuomba hizi kazi?
We acha tu wakiskia una IST sasa watakucheka mpaka basi. Utadhani wana miliki RangeKuna mwamba namuonaga kule garage anazarau magari ya watu, leo alikuwa analalama haoni kozi yake kwenye system, anyway labda anamsaidi jirani ku apply.
🤣🤣🤣shida tunaziacha nyumbani hapa ni raha tuUkisoma sana bila jf bila kujiongeza unaweza kujiona wew sio kitu kabisa...
Kama huo uzi wa kulana kimasihara sijui hao wanawake wanawatoa wap...unaweza hisi una kasoro labda kama mwanaume...
Watu wengi humu wana maisha mazuri na hawana shida za kibinadamu
Ukisikia mtu anaponda gari ya mwenzake basi ujur huyo mtu hajawahi kununua gari( sio kumiliki gari) Maana mtu anaweza kumiliki ya kupewa.Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Unalipwa milion LKn ni mkataba wa Miaka miwil miwil au mmoja mmoja kila mwaka urenew kutegemea performancë Yako, si bora uptae laki saba ya milele jombiYani mtu analipwa M+ halafu agombee mshahara wa laki sa sababu hasa ni nini?
Humu ndani usipotumia akili utaelewa mambo kinyume na hali halisi.SCENARIO
Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya.
Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira...
FLACK BACK
Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu.
Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo.
Hebu cheki huu Uzi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Lakini pia ukisoma Uzi wa "Kulana Kimasihala" utakuta raia mule Zina pesa za kuhonga hela ndefu na kulipia lodge za 50k, 100k na kuendelea.
THE PROBLEM
Nimebaki najiuliza maswali mengii...
1. Hela zimewaishia then wameona wakapokee za Hazina ya CCM?
2. Ualimu umeanza kuwa dili kwao?
3. Zile pesa walizotumia kula Kimasihala kutoka kwenye madili yao zimeisha then wanahitaji ajira?
4. Baada ya dharau zotee kwa ualimu na walimu, ina maana ualimu umekuwa Tena dili?
JF banaaa .......
The bilioneas are sakaling ajira.
Haya bana tuendelee kutafuta hela.
#YNWA
Nadhani ni tabia ya watanzania kupenda kudharau kitu ikiwa wao hawana hicho kitu,juzi nilipita salooni moja nkaoshe nywele zangu bwana basi wakawa wanendelea na story zao mara nkasikia jamani mwisho wa mwezi mshahara umetoka ila walimu watakuwa wameshamaliza hela tiyari,wakaongezea yaani ile kazi ya kijinga,mmh nkawauliza kwani walimu wanalipwa sh ngapi wakasema si laki tano?nkasema laki tano mbona siyo haba maana watu wengi hapa mjini wanaingiza hela kidogo na wanaishi vizuri iweje hao wa laki tano(nkatoa mfano kuna watu wanafanya kazi viwandani hela yao ni ndogo mbona wanaishi)mi sikuwazingatia nkaondoka zangu basi baada ya siku mbili nkaenda suka nywele paleHata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Amen.Ndugu yangu Vijana Siku hizi wamekuwa Matapeli usimwamini mtu hata SIKU moja. Mie kuna Jamaa Mmoja Alinidanganya Amepata Kazi sehemu anaenda Kufanya Interview...
Akaniambia Nimsaidie Pesa asafiri maana Hana Chochote. Nkampa. Keeeeeeh kesho napita zangu Town namuona Yupo anapiga Story kwa mbali na Watu. Nikasema Binadamu wahuni sana
Yaani Kukosekana Kwa Ajira kumesababisha Mambo mengi sana
1. Watapost humu wamenunua Magari ili wapunguze Hasira za Umasikini
2. Watapost wanabiashara kubwa kubwa na Wanahonga sana. Haya Yote ili waonekane Matajiri
Mie nikionaga Post za Hivi Huwa najua Ni Umasikini mbaya unawasumbua. Matajiri hawanaga muda na Show off kabisa amini hilo
3.
Noma hasaaa.Humu wengi ni handsome boys, warefu, wanapiga show kali, wana push ndiga kali, hawafanyi kazi kama, Ualimi, Askari.
Wanawala mademu wote wenye mashepu, (wanapenda kusema, kila mwanaume atamtamani) wanaishi Dar, wanajenga.
Sisi wachache sana ndiyo, akina Apeche Alolo, wafupi, tuna vitambi, wabishi. Hatari sana.
Mimi na ndugu yangu monde arabe tunasema "noma sana".😄
Ni maisha tu yatapita.Siku ya kwanza naweka laki mbili kwenye wallet yangu ile wallet ilichanika na mpaka leo sijapata tena pesa ya kuweka kwenye wallet.
View attachment 2211592
Meza 50K tayari haiwezekani hiyo bajeti ni juu sanaNi maisha tu yatapita.
Jitahidi ununue/utengeneze meza ili Kazi zako ufanyie PC ikiwa juu ya meza.
#YNWA
Yaani binadamu!!🙌🙌Nadhani ni tabia ya watanzania kupenda kudharau kitu ikiwa wao hawana hicho kitu,juzi nilipita salooni moja nkaoshe nywele zangu bwana basi wakawa wanendelea na story zao mara nkasikia jamani mwisho wa mwezi mshahara umetoka ila walimu watakuwa wameshamaliza hela tiyari,wakaongezea yaani ile kazi ya kijinga,mmh nkawauliza kwani walimu wanalipwa sh ngapi wakasema si laki tano?nkasema laki tano mbona siyo haba maana watu wengi hapa mjini wanaingiza hela kidogo na wanaishi vizuri iweje hao wa laki tano(nkatoa mfano kuna watu wanafanya kazi viwandani hela yao ni ndogo mbona wanaishi)mi sikuwazingatia nkaondoka zangu basi baada ya siku mbili nkaenda suka nywele pale
Story zao,yaani maisha magumu huyu mtoto nataka nimrudishe kwa baba yake
Mwingine naye akadakia huyu mwezi wa sita anarudi kijijini
Mda kidogo nkasikia we fulani(binti yake) hiyo chai ndo mpaka jioni
Nkasema nyie saloon mbona mna hela sana maana nasikia walimu ndo hawana hela,wakaanza yaani acha tu maisha haya ni magumu kwanza kila siku upo kazini,mara hiki mara kile,ndo nkasema binadamu huwezi kuwaelewa kamwe
Kikubwa sijawahi kumdharau mtu
Don't care them mommy, they're just idiots.Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Reset the phrase!skuiz kila mtu ni bahaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh.!Nilichogundua hapa JF.
-Karibu 80% tuna maisha duni sana
-Karibu 19% wana maisha ya kati.
-Sio zaidi ya 1% ndio wana maisha bora (na huwa hawajisemi wala kuwapondea wengine)
Reset the phrase!Yaani uwe maskini mtaani na mtandaonu? Hapana