Mi ni mtu mzima ila nafuatilia mziki wa vijana tena vijana kweli , yaani wale wenye umri mdogo lakini wanafanya vema katika gemu kama niliowataja hapo juu ns hakuna aliefikisha miaka 25.
Sasa leo nilikuwa kwa kijiwe cha vijana na nikakuta majibizano yanaohusu hao watu wanne Rayvan Asley Beka na harmonize kuwa yupi ana sauti nzuri ya kuimba, yaani nani mkali. Tuelewane swali ni nani mkali wa sauti na sio yupi mkubwa kwenye gemu, kwa maana ukisema yupi mkubwa jibu lipo.
Kwa upande wangu wote wako vizuri tena vizuri sana, je wenzangu mna maoni gani.
Au nimuongeze Q boy msafi hapo katika listi ? Mana nae muimbaji