Eti Rayvan, Asley,Beka na Harmonize nani ana sauti nzuri kwa kuimba.

Eti Rayvan, Asley,Beka na Harmonize nani ana sauti nzuri kwa kuimba.

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Mi ni mtu mzima ila nafuatilia mziki wa vijana tena vijana kweli , yaani wale wenye umri mdogo lakini wanafanya vema katika gemu kama niliowataja hapo juu ns hakuna aliefikisha miaka 25.
Sasa leo nilikuwa kwa kijiwe cha vijana na nikakuta majibizano yanaohusu hao watu wanne Rayvan Asley Beka na harmonize kuwa yupi ana sauti nzuri ya kuimba, yaani nani mkali. Tuelewane swali ni nani mkali wa sauti na sio yupi mkubwa kwenye gemu, kwa maana ukisema yupi mkubwa jibu lipo.

Kwa upande wangu wote wako vizuri tena vizuri sana, je wenzangu mna maoni gani.
Au nimuongeze Q boy msafi hapo katika listi ? Mana nae muimbaji
 
Aslay dogo yuko poa,haswa hv karibuni katoa vitu vya hatari,angepata menejiment yenye nguvu kama ya Mond angekuwa mbali sana.
Ray van ana tungo zake mwenyewe amejitengenezea identity yake.
Harmo konde boy anamuiga boss wake tungo na style japo anajua kuimba.

Philips X2560
 
kwa hapo Asley ila tofauti Na hapo.
Marlow
Q jay
Ruby

sipati picha ruby Na marlo wakiimba pamoja huo wimbo utakavyo kuwa.
 
Back
Top Bottom