Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.

Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.

Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
 
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudwkezana.

Keshakataa... kuna swali??
 
Umekuwa mganga wa kienyeji?
 
Mmejawa na upumbavu mwingi sana na wala hamjui mkisemacho
 
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.

Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.

Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
JINGA!
 
Uliwasikiliza wanasheria?
Kuna documents mtuhumiwa atahitajika kusaini,atazisaini mtandaoni au zitapelekwa jela na bodaboda akazisaini?
 
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.

Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.

Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Sasa zinajengwa za Nini mahakama kama Kuna mitandao?,Utasaini kwenye mtandao?
 
Si watu wote wanaweza kuisikiliza kesi hiyo mtandaoni, wanataka waione na kuisikiliza mahakamani, ili wamuone mhaini!
 
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.

Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.

Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Kwa nini hiyo teknolojia haitumiwi kwenye kesi zilizokaa muda mrefu na kupunguza msongamano kwenye baadhi ya magerezani nchini kwa mahabusu waliokaa muda mrefu bila kusomewa kesi zao? au inampasa Lissu peke yake?.
 
Back
Top Bottom