Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

Hiv mtu mzima anafurahi nini kuwa mjinga namna hii? Hiv hamchukui hata dakika chache kujitathmin kabla hamjaleta hoja mbele za watu mkuu?

Yan hata mtu akikusoma tu, una reflect kiwango kikubwa mnoo cha stupidity and ignorance kilichojaa ndani.

Very sad
We ni nyumbu huwezi kuelewa alichokiandika. Kumbe we ni bwege tu
 
Kwa nini hiyo teknolojia haitumiwi kwenye kesi zilizokaa muda mrefu na kupunguza msongamano kwenye baadhi ya magerezani nchini kwa mahabusu waliokaa muda mrefu bila kusomewa kesi zao? au inampasa Lissu peke yake?.
Nenda kamwuliza jaji atakujibu,
 
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.

Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.

Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Lissu ni kichaa. Period. Na moja ya lijitu pumbavu kuliko wote duniani.
 
Back
Top Bottom