Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudwkezana.
Umekuwa mganga wa kienyeji?Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudwkezana.
Mmejawa na upumbavu mwingi sana na wala hamjui mkisemachoTeknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudwkezana.
JINGA!Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Uliwasikiliza wanasheria?Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Sasa zinajengwa za Nini mahakama kama Kuna mitandao?,Utasaini kwenye mtandao?Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Hakuna swali kwa kuwa sio lazima.Keshakataa... kuna swali??
basi unavyo andika kwa raha kama vile utaishi milele, unaweza shangaa kabla ya hukumu ukawa umesha farikiLissu ana kesi ya uhaini yenye hukumu moja tu KIFO we unazungumzia kuuza sura?
Kwa nini hiyo teknolojia haitumiwi kwenye kesi zilizokaa muda mrefu na kupunguza msongamano kwenye baadhi ya magerezani nchini kwa mahabusu waliokaa muda mrefu bila kusomewa kesi zao? au inampasa Lissu peke yake?.Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima.
Nazishauri mamlaka zetu zote, Kamwe zisikubali kuchezewa na kuyumbishwa na wahuni wachache....lazima SHERIA na TARATIBU za Nchi zilindwe na ziheshimiwe....tusichekeane wala kudekezana.
Jijibu sasa!, simba kashasema NO, period, warudishe kwa mama imebuma hiyo episodeHakuna swali kwa kuwa sio lazima.