Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

Uliwasikiliza wanasheria?
Kuna documents mtuhumiwa atahitajika kusaini,atazisaini mtandaoni au zitapelekwa jela na bodaboda akazisaini?
Hii imeisha hii, wanasheria 31 wa Chadema wamepigwa chini na wanasheria watatu wa serikali. Wakutane Mei 6, Kesi ni kwa mtandao.
 
Pumbavu
 
Wamuache huko huko akochoka atsenda
 
Kwa njaa za vijana wa nchi hii nimeamini kuna vijana wengi sana wanapakatwa aise.
 
Hivyo wewe inachagua nani aruhusiwe kufanya fujo na nani afanyiwe fujo sio?
 
TUache utani pembeni, kusema ule ukweli kama ccm ndiyo inawatuma watu wao, wenye akili hizi ni huruma sana. Karibu wote humu wanaojitanabaisha ni ccm ni vichwa vitupu, wanatoa tu matusi ambayo si mapya nayo.

Wanaokota watu, nendeni mitandaoni mkashambulie, hawajapata watu wa maana wenye uelewa wa vitu vya kuwasemea mitandaoni, hapo lazima kutumia dola na kuiba kura. Sera huwa zinajiuza si haya yanayoendelea hapa. Ukinigusa nakugusa vizuri (angalizo)
 
Atakula msosi wa Bure akichoka atarudi kwenye tonetone

Unafikiri atagoma? Atakula tu na hata kama mkitaka mwakani atasubiri tu, simba hana shaka, ataendelea tu kuwapa masomo na mama yenu, unaumia? Tena umesema wa bure, actually tunaulipia kodi hamna kitu cha bure labda sisiemuni kwa chawa!
 
Kweli wengi wao ni pumba za Tumbaku,ambazo hata Mbuzi na swine Hali!
 
TUMESHA WA ELIMISHA SANA
Mtoa thread wewe ni 阴道
 
Wanatumia hiyo kesi kupanga na kufanya uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…