Eti STAMICO wanauza Makaa ya Mawe tani moja kwa Tsh 60,000/= Mkataba huu Uvunjwe

Mawe ya huko ulikotaja yanafanana viwango na haya yakwetu? Lakini Tani 1 sio mengi mbona acha mama afungue nchi. Tim mwendazake mnawivu Sana nyie acheni mama aupige mwingi.
Ndio maana nimewaeleza hapo juu kwamba wangejua Makaa yako kila sehemu ila ni of poor quality Sana, huwezi linganisha na Botswana au South Africa..
 
Mawe ya huko ulikotaja yanafanana viwango na haya yakwetu? Lakini Tani 1 sio mengi mbona acha mama afungue nchi. Tim mwendazake mnawivu Sana nyie acheni mama aupige mwingi.

Aiseee hayo ni makaa ya mawe au mchanga?
 
Tusije kutumia gharama mara mbili kufukia mashimo, ohooo......
 
Kama kuna ukweli kwenye hili, inabidi hawa watu wanayofanya haya mambo wawe wanahukumiwa kupigwa "risasi" ama adhabu zinazofanania na hizo siamini kama mtu anaweza akaagree price chini ya ile ya soko la dunia.
 
Elimu please, hivi density ya makaa ya mawe Ni ngapi say per cubic meter and a day on average, zinaweza kuchimbwa cubic meter ngapi
I think you can guess what I want to establish!
 
Taarifa haijakamilika naona imejaa mihemko.

Stamico na makaa ya mawe wapi na wapi?

Ingawa nahisi kwenye hii tenda walamba asali wamepiga parefi sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Resource curse... Makaa ya mawe yanapaswa kubaki ardhini. Kuyachimba kwa matumizi ni kuchochea uharibifu!
 
Kuna kitu bado watu hawajaambiwa...
Kuna mdau aliniambia upanuzi wa bandari Mtwara ulikula zaidi ya Billion 300 ... Na asilimia kubwa ya pesa hiyo ilikuwa mkopo ( mikopo ya haraka haraka) ...japo kuwa tuliambiwa ni pesa yetu...

Kinachofanyika kuna service ya mkopo hapo... Kwakuwa muda wa kulipa umeanza....

Sijajua kama ni kweli tani moja imefika 60,000 ila kuna makato ya asilimia flani yanafanyika kuhudumia mkopo.. Sijajua kwa muda gani..
Ndio maana pia wanajaribu Dangote aitumie kusudi waweze kuserve mkopo kwa haraka..

Sijajua Bandari ya Tanga wanafanyaje.. Ila nahisi mkopo pia ulihusika pakubwa..
 
Chanzo Cha taarifa juu ya bei yetu kulinganisha na bei iliyopo solo la Dunia,ukizingatia mahitaji ni makubwa kufuatia mgogoro wa nishati uliopo hivi Sasa kutokana Na Nato kupanga kususia nishati kutoka urusi.
 
Mmmh jamii forum wajuzi wengi lakin Daaah..okay,apo inategemea terms wanazouzian CFR,CIF,FOB ,EX MINE etc..Actually Coal CIF china ni $120/MT..mm nafanya trading kama,hyo bei uliotaja ww mteja gani unaemjua amenunua nilitee na mm..Mzigo upo 20,000MT/monthly and price $37/MT ex mine($2/MT my commission)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…