Eti STAMICO wanauza Makaa ya Mawe tani moja kwa Tsh 60,000/= Mkataba huu Uvunjwe

Ruvuma coal , wanasafirisha kila siku tani za kutosha sijui kama bei ni hiyo na kama ni hiyo basi kuna tatizo kubwa...
 
Hiyo ni bei ya stamico kama mtoa mada anavyosema, stamico hajaanza kusafirisha mkaa kama sijakosea , anaye lsafirisha mkaa kwa meli hizi mbili za mwisho ni Ruvuma coal ma hasafitishi kwa bei hiyo
Stamico wao wanakusanya maduhuri tu
 
Ruvuma coal , wanasafirisha kila siku tani za kutosha sijui kama bei ni hiyo na kama ni hiyo basi kuna tatizo kubwa...
Mkaa una bei zake kulingana na size yake, export price ruvuma nadhan inaanzia 39usd per ton
 
Una uhakika na hiki kinachosemwa na unafahamu huo mkataba ulisainiwa lini?
 
Iyo pesa kwa tani moja ni sawa mbona tipa moja inabeba karibu tani kumi za Makaa apo bado kuna mambo kibao ya kulipia
 
Bei ya mwaka Jana kwa mgodi wa Mbinga. Nadhani inafuatana na quality. Kwa Tanzania kwenye vitu vingi hatuna uwekezaji wa kutoa high products.
 
kaka hii ni tanzania kula kwa urefu. hiyo makaa ya mawe inauzwa bei hiyo na stamico ni danganya toto, kuna wenye nchi wanauziwa bei hiyo na wao wanapiga cha juu. tuendelee kufurahi kifo cha jpm tutajua kama sisi hatujui
 
Hiyo Bei mtoa mada ameipata wapi? Mbona haweki ushahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…