Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaweza kuingiza pesa wakawa wanatulipa mdogo mdogo ila kuwasubilia tunajisubilisha wenyewe .Tuwajengee? Tuwe donor country? Hata hivyo Tanzania na Zambia wana makubaliano ya Zambia kuboresha kpande kile kibaya sana cha Nakonde kuelekea (wapi pale, nimesahau).
Punguza makasiriko,bandari ya karema ni strategic point ya nchi hasa kibiashara na DRC. Msidhani maendeleo yote lazima yafanyikie dar es salaaam. Karema itauinua mkoa wa katavi sana. Tuwe reasonable kwenye baadhi ya mambo.Lile jizi lilikuwa linaanzisha miradi ili lipate kuiba fedha tu na wala halikuwa na muda wa kusikiliza ushauri wa wataalamu,nchi ilifikia pabaya sana mtu mmoja alijiona akili zote za Watanzania anazo yeye hivyo aliona mawazo yake ndio sahihi na aliamua atakavyo.
Maneno ya strategic sijui Kimkakati ni porojo zisizo na msingi.Punguza makasiriko,bandari ya karema ni strategic point ya nchi hasa kibiashara na DRC. Msidhani maendeleo yote lazima yafanyikie dar es salaaam. Karema itauinua mkoa wa katavi sana. Tuwe reasonable kwenye baadhi ya mambo.
Kila siku mnamkosoa Samia lakini akikosolewa "mungu" wenu mnaita chuki! Jifunzeni kuwa wavumilivu kama mnashindwa kuvumilia kukosolewa je mngeshuhudia hiyo mijeledi anayotandikwa kila kukicha huko alipo si ndiyo mngezimia kabisa 🤣🤣🤣Chuki inaua.
Washenzi sana hao na lile jitu lao,Huwa yanajikuta ni malaika wakati ni majinga tuu.Kila siku mnamkosoa Samia lakini akikosolewa "mungu" wenu mnaita chuki! Jifunzeni kuwa wavumilivu kama mnashindwa kuvumilia kukosolewa je mngeshuhudia hiyo mijeledi anayotandikwa kila kukicha huko alipo si ndiyo mngezimia kabisa 🤣🤣🤣
Nakonde-Mbala-Isoka-ChinsaliTuwajengee? Tuwe donor country? Hata hivyo Tanzania na Zambia wana makubaliano ya Zambia kuboresha kpande kile kibaya sana cha Nakonde kuelekea (wapi pale, nimesahau).
Asante. Mbala ndio ilikuwa imenitoka.Nakonde-Mbala-Isoka-Chinsali
Si ilikuwepo kwenye zile Items, Bw HH wa Zambia alipofanya ziara Tanzania? Sasa ya nini kufanya duplication ya maoni na ushauri usioisha? Tusubiri
Kukosoa sio chuki.Kila siku mnamkosoa Samia lakini akikosolewa "mungu" wenu mnaita chuki! Jifunzeni kuwa wavumilivu kama mnashindwa kuvumilia kukosolewa je mngeshuhudia hiyo mijeledi anayotandikwa kila kukicha huko alipo si ndiyo mngezimia kabisa 🤣🤣🤣
Nyingine hii hapa inaoza tuu hukoHuu nao ulikuwa mradi chini ya Bwana yule.
Hakuna kitu ni upuuzi tuu na matumizi mabaya ya pesa za walipakodi..Dah! Nimejaribu kuwaza sana uwezekano wa hiyo bandari inawezaje kusaidia kuondoa msongamano Tunduma sijapata jibu. Yaani hakuna namna yoyote Karema inaweza ikapunguza msongamano Tunduma. Ili kufika Karema lazima upite Tunduma uitafute Sumbawanga ndo uelekee Karema. Utakuwa ni uwendawazimu ufike boda kisha ukate kona na kuanza kuitafuta Karema.. hata tuki-assume malori yamelazimika kupita Karema ina maana mizigo itapakuliwa, kukaguliwa kisha kupakiwa kwenye boti au meli hadi Kalemia ambayo ipo kaskazini karibu na Kigoma. Ikifika Kalemie ishushwe tena na kupakiwa kwenda Lubumbashi ambayo ni kusini mwa Kalemie.
Tunduma - Kasama - Mokambo - Mufulira - Kasumbalesa - Lubumbashi ndo njia fupi zaidi kuliko hiyo anayosema Jerry Silaa.. mimi nadhani serikali ifanyie kazi mawazo ya wadau kuboresha barabara ya kufika Tunduma. Pia nchi husika zikae chini na kukubaliana kujenga miundombinu mizuri. Zambia wenyewe ni kero kubwa. Barabara ni mbovu. Malori mengi yanazunguka sana ili kukwepa barabara mbovu ya Tunduma - Kasama kupitia Chinsali.... wanapita njia ndefu sana ya Tunduma - Kasama kupitia Mbala.
Wajenge tu hizo barabara kusaidia wananchi wa huko lakini sio porojo za kusema wanapunguza msongamano Tunduma. Kwa mfano barabara ya Sumbawanga - Kala wangepiga hiyo lami kwasababu kule kuna uvuvi mkubwa wa samaki ila hapafikiki. Ingesaidia sana kibiasharaHakuna kitu ni upuuzi tuu na matumizi mabaya ya pesa za walipakodi..
Kasanga port nayo wakati inajengwa ilikuwa na porojo kama hizo ila Hadi Leo hii hakuna kitu..
Mradi mwingine wa kipuuzi ambao Jiwe na wafuasi wake wamekurupuka ni Barabara ya Mpanda Hadi Tabora via Inyonga,Barabara Ina km 364 tena Ina hadhi ya Trunk road..Hakuna kitu ni upuuzi tuu na matumizi mabaya ya pesa za walipakodi..
Kasanga port nayo wakati inajengwa ilikuwa na porojo kama hizo ila Hadi Leo hii hakuna kitu..
Hapo sawaWajenge tu hizo barabara kusaidia wananchi wa huko lakini sio porojo za kusema wanapunguza msongamano Tunduma. Kwa mfano barabara ya Sumbawanga - Kala wangepiga hiyo lami kwasababu kule kuna uvuvi mkubwa wa samaki ila hapafikiki. Ingesaidia sana kibiashara