Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?

Punguza makasiriko,bandari ya karema ni strategic point ya nchi hasa kibiashara na DRC. Msidhani maendeleo yote lazima yafanyikie dar es salaaam. Karema itauinua mkoa wa katavi sana. Tuwe reasonable kwenye baadhi ya mambo.
Mkuu hawa ni watoto wadogo msamehe hilo somo tulisoma darasa la Nne Jiografia...

Kalema ipo kimkakati tangu Wamisionari kujenga Kanisa na himaya hapo...pili tawi la reli Mpanda Kaliuwa....huo ni mkakati wa Kidunia na Tanzania ni mnufaika mkubwa sana...nje ya box PK kanuna sana kujengwa kwa hiyo bandari...kwake ni Threat!!!

Kijografia Kalema imelengana na Kitovu cha DRC ambacho ni Kalemie hapo unapiga Congo mashariki Congo katikati na Congo Kaskazini Magharibi....so Kalema ni Bridging

Ujasusi sio kuvaa suti hata mtoto wa darasa la tatu ukimtreni anakuwa CHATU
 
Kitovu Cha DRC ni Kalemie 🤣🤣🤣🤣

Unavyoongea utadhani unaijua hata hiyo Kalemie na unavyoitaja wasio kuwa wanaweza Dhani ni Mji kumbe ni Kijiji very poor na hamuna kitu Cha maana
 
Back
Top Bottom