agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Tutabanana hapahapaKwa nini hutaki kunisikia lakini???!
Nakubaliana na wewe hapa...98%Au kauli ya kukwepa mizinga...
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]Duh bei ya Vitz hio.
Hutaki mimi nikwapue vimwana JF kama wewe unavyojisevia?Paprika umemficha wapi?
Ina maana yule shemeji yangu uliemkwapua hapa JF hatoshi mkuu?Hizi zote ni mbinu za kunihujumu kwa paprika