Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

Ni msemo tu wa watu fulani wenye mapesa yao ili wasifuatiliwe sijui hata ulitokea wapi
Vyuma vipi vilivyokaza? Jana napishana na jamaa yangu katoka kununua curved samsung UHD milioni 6 ...vyuma vipi vimekaza?
 
Duh bei ya Vitz hio.
 
Vyuma vimekaza kwa waliozoea mteremko kama kina Wema mpaka anahamua kurudi CCM ili apige hela ndefu kwa kuhongwa arudi Chadema au kujiunga na chama cha Zitto. Yote hii ni njia ya kutafuta hela maana hana njia nyingine zaidi ya kigeugeu.
 
Nisawa lkn hukuwa na haja kutaja mechi ya jana. Ushanikera
 
Ha ha ja mechi ya jana ndio ilisababisha yote hayo vinginevyo ningrkuwa nyumbani..
 
Back
Top Bottom