Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

Kama hukuzoea pesa za deal na kudanga hakuna kilichobadilika sana....zaidi zaidi circulation ya pesa imepungua.Pesa imekuwa Lulu ila mfukoni haikosekani.
 
Hayo ni maoni yako. Nimekwambia mimi kapuku kama imekuuma eff off hakuna aliekuita hapa.
Mimi Sina shida lakini siwezi kukashfu watu kama unavyofanya.
Kama wazungu, waamerika na wa Asia. Wangekuwa na akili kama zako. Leo hii Africa isingesaidiwa. Maana wao wana maisha mazuri. Lakini hawawasahau watu masikini na kuwapa misaada.
 
Si ndo hapo ss kirikuu zenyewe 1500 wao wanatakaga kiroba cha pesa ndo wakastareee
Kuna watu wana matatizo sana. Akiamka anatafuta shari baada ya kutafura pesa. Nishamuweka kwenye trash bin!
 
Back
Top Bottom