Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Hahahaaaa umenena vyema mkuuNdio ninapoishi mkuu, hapa milembe tunakula gambe tu mkuu...
Hahahaaaa umenena vyema mkuuNdio ninapoishi mkuu, hapa milembe tunakula gambe tu mkuu...
Nakuja hapo chap!Njoo nikupe mwali
Maplatinum memba tunaitwa kwa sauti ya upole, hebu jirekebishe kijana!Ila platinum member 😅🙌
Nitakufatilia....Humu mbona inajulikana misinaga akili....
Kwani wemgeni humu..??
Unataka vita na expert member eeh hujui kama tupo wengi?Maplatinum memba tunaitwa kwa sauti ya upole, hebu jirekebishe kijana!
Hebu jikusanyeni halafu sisi wazee tuwaonyeshe kwamba huu mchezo hauhitaji papara 😂Unataka vita na expert member eeh hujui kama tupo wengi?
Hata mi pia kaka hadi nimebadili IDinavibidi investigation ifanyike mkuu. Binafsi nimepata PM za kiwaki, uzuri huwa sijibu natazama tu na kuacha
VIta yake si tunawamaliza robo saa tuHebu jikusanyeni halafu sisi wazee tuwaonyeshe kwamba huu mchezo hauhitaji papara 😂
Kabisa, lisije kumkuta jambo akaanza kutia tia huruma hapa 😅Tena aniite kwa adabu...🤔
The LORD is my shepherd,Utachemka mkuu..