allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,134
- 3,467
Pole sana mkuu. Humu mnaishi na wachawi wenye roho mbaya na chuki ishini ki master sanaHata mi pia kaka hadi nimebadili ID
Pole sana mkuu. Humu mnaishi na wachawi wenye roho mbaya na chuki ishini ki master sanaHata mi pia kaka hadi nimebadili ID
Ndo hivyo mkuu sikutegemea kutumiwa picha za uchi halafu zinadai zinanifahamuPole sana mkuu. Humu mnaishi na wachawi wenye roho mbaya na chuki ishini ki master sana
aiseee... Hatari sana mkuu. Kaeni napo chonjoNdo hivyo mkuu sikutegemea kutumiwa picha za uchi halafu zinadai zinanifahamu
Yeah....Naunga mkono hoja...🫤
Nimefika hapo nimevaa jeans nyeusi na crop top nyeupe nimesimama hapa kwenye garden nilitee buku tano ya boda wahiNipo hapa nje switi hati....💥
Thubutuuu 🤣🤣VIta yake si tunawamaliza robo saa tu
Peke yako huniwezi labda uje na kikundi cha wenzako kama 10 hivi.Tena mimi niachiwe wewe tu 😁
Hahahaaaa mkuu umetisha!Aminayutiai ameniuliza kwamba.....
Ikitokea amekufa ugechaguanini (akatoa mfano Jerusalem), kisha niulizwe kwamba nichague dola milioni 5 tumsafirishe kurudi bongo ama dola milioni 2 tumzike Jerusalem.... nitachagua pesa ngapi??
Mie nimemjibu kiungwana kabisa kwamba..... nitachagua dola milioni 5.... akaniuliza kwamba, kwanini nichague dola milioni 5?
Nikamjibu kwa upele kabisa kwamba.... nimechukua mfano wa yesu alipokufa akazikwa Jerusalem, ila ndani ya siku tatu akafufuka.
Sasa namimi naamini akifia Jerusalem haiwezi ikazidi siku 3 kabla hajafufuka na hiyo dola milioni 5 nitakua nimechukua...
Eti nimekosea wapi wakuu...