Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?


 
You deserve a clap [emoji122]...umeongea vzr
 
ninachpinga mimi huwezi kuwa na goli 4 kwenye mechi 8halafu akaita ni mafanaikio nahasa kwa wachezeji wanaitwa wakiwango cha juu.

Kuna dogo tayari ana goli 9 ndani ya seria A, na anachezea timu kibonde tu.
Hivi kuwa na goli 4 baada ya mechi nane ni jambo la kusifiwa? hao mnaowaponda Benzema na Bale wote pia wa magoli manne manne kila mmoja.

Leo Messi tayari ana 10
Wengine wanataja magoli tu na wengine assist tu.

Mechi 8 ana goli 4 na assist 4 kwa lugha nyengine kila mechi ronaldo ana average ya contribution moja ya goli.

wafungaji/Assist bora italia
1. Piatek goli 9 na assist 0
2. Insigne goli 5 assist 1
3. Immobile goli 5 assist 0
4. Defrel goli 5 assist 0
5. Ronaldo goli 4 assist 4

Hivyo ukiangalia hapo utaona ukimtoa piatek mwenye contribution 9 kwenye ufungaji magoli wa pili ni Ronaldo ana 8.

Mtu mgeni tena amecheza kombe la dunia na kuchelewa kujiunga na club yake mpya, bila mazoezi wala kuzoeana na team mates wake tayari ameshaleta impact kama hio, huyo mtu ni wa aina gani?

Na hata ukiangalia ratings za hao watu series A ronaldo amekuwa rated 7.95 compare na 7.83 ya Piatek

Cristiano Ronaldo Football Statistics | WhoScored.com

Krzysztof Piatek Football Statistics | WhoScored.com

Ratings za hao wengine
Insigne 7.48
Immobile 7.08
Defrel 7.3

Kifupi Serie A ikiisha leo Ronaldo ndio mchezaji bora wa msimu, hakuna mwenye stats nzuri all around kumshinda yeye, magoli yupo, assist yupo, key pass yupo, pass accuracy yupo etc.
 


Hata Hazard amecheza world cup tena mpaka mwisho kabisa na saivi tayari ana goli 9 (8+1)

na Dogo Piatek pia ni msimu wake wa kwanza ndani ya Seria A tena katoka ligi za Poland huko tayari ana goli 13 (9+4)

Bado sijakiona cha kumwagiwa sifa kwa Ronaldo.
 
Lopetagui kule Madrid hali yake tete kama Mourinho tu. Muda si mrefu shoka litashuka
 
Hujaelewa point hazard alivyorudi chelsea alikutana na wachezaji wapya timu nzima?

Na huyo piatek amepitwa rating na Ronaldo.

Kama kuna mchezaji serie A ambaye amefanya vizuri zaidi ya Ronaldo toka msimu uanze unakaribishwa kumtaja na kuleta ratings zake.
 
msenge kweli wewe kila ndani ya hiyo misimu mitano uefa kachukua?? kapoteza final mbili.. ni sawa chizi kwenda umbali mrefu halafu anarudi na makopo...
Usipende kushadadia bila fact..
Sasa kwa miaka mitano ukizungumzia kuchukua uefa basi timu ingekuwa madrid tu nyingne sio timu, kutobeba uefa haimaanishi Juve alikuwa na msimu mbaya ila inawezekana alizidiwa viwango na baadhi ya timu zilizobeba mbele yake mfano ni Madrid bora kabisa yenye Ronaldo
 
ninachpinga mimi huwezi kuwa na goli 4 kwenye mechi 8halafu akaita ni mafanaikio nahasa kwa wachezeji wanaitwa wakiwango cha juu.

Kuna dogo tayari ana goli 9 ndani ya seria A, na anachezea timu kibonde tu.
Ligi ina mechi 38 Ronaldo ndio kwanza anaizoea ligi ya Italia nakuhakikishia katika michuano yote msimu huu goli 40+ ni kama kawaida na assist kibao
 
sasa hizo goli 4 mechi nane nisawa na Benzema tu
Uzuri Ronaldo timu yake haijapoteza mchezo wowote ule katika ligi hata suluhu hajapata Juve
 
Mkuu si uangalie rating zao hapo
 
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Mkuu amecheza game ngapi pale juve..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…