Wengine wanataja magoli tu na wengine assist tu.
Mechi 8 ana goli 4 na assist 4 kwa lugha nyengine kila mechi ronaldo ana average ya contribution moja ya goli.
wafungaji/Assist bora italia
1. Piatek goli 9 na assist 0
2. Insigne goli 5 assist 1
3. Immobile goli 5 assist 0
4. Defrel goli 5 assist 0
5. Ronaldo goli 4 assist 4
Hivyo ukiangalia hapo utaona ukimtoa piatek mwenye contribution 9 kwenye ufungaji magoli wa pili ni Ronaldo ana 8.
Mtu mgeni tena amecheza kombe la dunia na kuchelewa kujiunga na club yake mpya, bila mazoezi wala kuzoeana na team mates wake tayari ameshaleta impact kama hio, huyo mtu ni wa aina gani?
Na hata ukiangalia ratings za hao watu series A ronaldo amekuwa rated 7.95 compare na 7.83 ya Piatek
Cristiano Ronaldo Football Statistics | WhoScored.com
Krzysztof Piatek Football Statistics | WhoScored.com
Ratings za hao wengine
Insigne 7.48
Immobile 7.08
Defrel 7.3
Kifupi Serie A ikiisha leo Ronaldo ndio mchezaji bora wa msimu, hakuna mwenye stats nzuri all around kumshinda yeye, magoli yupo, assist yupo, key pass yupo, pass accuracy yupo etc.