Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ronald ni one man armyWatu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge huku wao wakibaki watoa assist tu
Sasa Ronaldo kaondoka R.Madrid Benzema na wenzake wana uhuru wa kufunga kila nafasi wanayoipata kwani Ronaldo hayupo tena lakini tofauti na matarajio ya wengi Benzema na wenzake wameendelea kuwa butu huku timu ikishindwa kufunga goli lolote katika michezo takribani minne sasa.
Je ni kweli Ronaldo ndio alikuwa anawabania?
Hawataki kumzungumzia staa wao ambaye ndio anaongoza safu yao ya ushambuliziKwa tatizo liko wapi jaman mbona staa wetu namba kumi hapo hajalalamika kuwekwa namba hio wakati anaongoza kwa offsides za kutoshaView attachment 945753
Chuki hufunika kweli,ni mwendelezo wa chuki.Ooow waoo hilo goli la leo hujaliona mkuu?
Hao ndio wanachokitafuta hapa.Unapobadili mazingira ya uchezaji inaweza kukufany ufanye vzr au vibaya na hii sasa ndo inatokea kwa ronaldo,ko inamfanya ajaribu kutafuta namna ya kuzoea na kufanya vizuri zaid.
Na pia uzingatie wachezaj waliokua wakimzunguka Madrid ni tofaut kbs na waliopo juve.
Swala la messi kuwa na goli 10 nadhan halina tija yoyote hapa maan hakuna alieizungumzia barca