Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Watu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge huku wao wakibaki watoa assist tu

Sasa Ronaldo kaondoka R.Madrid Benzema na wenzake wana uhuru wa kufunga kila nafasi wanayoipata kwani Ronaldo hayupo tena lakini tofauti na matarajio ya wengi Benzema na wenzake wameendelea kuwa butu huku timu ikishindwa kufunga goli lolote katika michezo takribani minne sasa.

Je ni kweli Ronaldo ndio alikuwa anawabania?
Ronald ni one man army
 
Unapobadili mazingira ya uchezaji inaweza kukufany ufanye vzr au vibaya na hii sasa ndo inatokea kwa ronaldo,ko inamfanya ajaribu kutafuta namna ya kuzoea na kufanya vizuri zaid.
Na pia uzingatie wachezaj waliokua wakimzunguka Madrid ni tofaut kbs na waliopo juve.
Swala la messi kuwa na goli 10 nadhan halina tija yoyote hapa maan hakuna alieizungumzia barca
Hao ndio wanachokitafuta hapa.
 
Back
Top Bottom