Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ronald ni one man armyWatu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge huku wao wakibaki watoa assist tu
Sasa Ronaldo kaondoka R.Madrid Benzema na wenzake wana uhuru wa kufunga kila nafasi wanayoipata kwani Ronaldo hayupo tena lakini tofauti na matarajio ya wengi Benzema na wenzake wameendelea kuwa butu huku timu ikishindwa kufunga goli lolote katika michezo takribani minne sasa.
Je ni kweli Ronaldo ndio alikuwa anawabania?