Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Niache pesa haiwezekan sbb ht nisipokubl kwa zile pesa na niwajuavyo wanaeake looo ntakosa pesa na yy mwenyrwe ntamkosa so bora nipte kimoja
 
Duuh! Labda waondoke naye sababu Kikawaida baada ya kupata hizo pesa lazima majeshi yarudishwe tu.

Sababu mapenzi ni kitu kingine aisee tena ukiangalia hakuna sababu iliyoleta huo ufa lazima hapo watu warudiane tu.
Unaijua milion 100 wewe?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huu uzi nahisi nimeufungua bahati mbaya.
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mleta mada uwewaza nini mkuu?.
 
Acha mawazo ya ajabu tafuta hela bob.
Nani akupe mil 100 kwa upuuzi upuuzi..
Hizi ni dalili za kuamka bila kunywa chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…