Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
buku tatu tu namuacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yet Bado inasafar ndefu Sana, Kama vijana wenyewe ndo wana mawazo haya, Tanzania ya viwanda tutaisikia tu aiseeEti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?View attachment 891431
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa tu,si natafuta dem mwingine,kwanza madem wapo kibao tu.
Unaijua milion 100 wewe?Duuh! Labda waondoke naye sababu Kikawaida baada ya kupata hizo pesa lazima majeshi yarudishwe tu.
Sababu mapenzi ni kitu kingine aisee tena ukiangalia hakuna sababu iliyoleta huo ufa lazima hapo watu warudiane tu.
Long time no see brotherSIKUBALI