Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Duuuuh kwa hio umeridhia kua mbwa mkuu?
😂
Kama yanga akishinda game raundi ya kwanza sawa
 
Yanga mtu wanayeweza kumfunga ni zalan fc tu akija kushinda mechi nyingine baada ya zalan kutolewa mniite mbwa nipo hapa😂😂
Unataka uwe mbwa mara ngapi na tiyali ni mbwa, mbumbumbu aliyewaroga alishakufa kitambo
 
Unataka uwe mbwa mara ngapi na tiyali ni mbwa, mbumbumbu aliyewaroga alishakufa kitambo
***** zenu time will tell hamna namna ya kutoboa zaidi ya kuishia kumfunga zalan
 
Anayesema kawafunga vibonde alete timu yake ambayo ni bora tuone, na pia alete matokeo yake dhidi ya yanga ili tufanye rejea tujue zalan kapigwa kihalali ama vipi, maana maneno matupu ayasaidii tutapoteza muda wetu bure kujibishana na watu waliotoka kupiga misokoto ya bangi
 
Acha ncheke kidogo....mechi za mazingaombwe ya akina mpili tulishaachana nazo shabikieni tu
 
Simba ndo timu iliyofungwa mara nyingi na Yanga dunia hii
 
Acha ncheke kidogo....mechi za mazingaombwe ya akina mpili tulishaachana nazo shabikieni tu
Ndo maana rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unapishindwa kuukubali uwezo wa mwenzako na kuendekeza mambo ya ajabu ajabu basi ujue utaendelea kudumaa kiakili na kimawazo, uwezi piga hatua yoyote ya maana kwenye maisha yako maana kawaida binadamu mwenye akili uwa anatafuta alipokosea apafanyie kazi ili arudi kivingine ikiwemo kujua mwenzake amefanikiwaje, lakini ukibaki na akili kama hizi lazima uferi kila jambo maana utaki kuukubali ukweli
 
Naona leo Zalan walikua wanapata tuu harufu za Vinyesi uwanjani na ule uchovu lazima waruhusu mabao.
 
Wawezee wapiii ni uchawi tuu unawasaidia bila uchawi Haiwawezi simba
 
Mbumbumbu next level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…