Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Pole mkuu. Hizi timu zinatupeleka vibaya niliona hapo juu wanasimba wanaitwa manyonyo any way tuyaache. Tushabikie kiustaaabu. Tuishie kwny utopolo.
Nadhani tuishie kwenye Mbumbumbu FC
 
Mbumbumbu hawakushangilia coz walikuwa wanamuwaza Mayele. Wana wivu sana na Mayele
 
kauliza swali nyie manyonyo fc, yanga kidume kawafunga mara ngapi?why hujibu swali unakimbilia kupaniki????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…