- Thread starter
- #61
Mazingaombwe FCVipi yale mazingaombwe mliyofanya SA kwa Orlando pirates?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingaombwe FCVipi yale mazingaombwe mliyofanya SA kwa Orlando pirates?
Nadhani tuishie kwenye Mbumbumbu FCPole mkuu. Hizi timu zinatupeleka vibaya niliona hapo juu wanasimba wanaitwa manyonyo any way tuyaache. Tushabikie kiustaaabu. Tuishie kwny utopolo.
Unaonaje na sisi tukaishia kwenye Akili mbili FC hahahahahahNadhani tuishie kwenye Mbumbumbu FC
Mbumbumbu hawakushangilia coz walikuwa wanamuwaza Mayele. Wana wivu sana na MayeleUnachoongea ni kweli hata nilipo angalia mimi mpira mashabiki wa simba hawakushangilia goli hata moja ila yanga sasa fujo mpaka wanapanda kwenye mabenchi kwanza walianza kusema wanaonewa na mwamuzi baada ya kukataa goli zao zile nikajua kweli hawa ndo mashabiki vilaza Africa mashariki wanapatikana avic town
No. Iltawafaa Wachawi FCUnaonaje na sisi tukaishia kwenye Akili mbili FC hahahahahah
Wewe tulia unywe chai naona unataka ligi. Hatutamaliza utaishia kunitukana tuu maana nawajua.No. Iltawafaa Wachawi FC
Msikariri .Mlikariri hivyohivyo kwa goli la morisoni baadae mkapigwa 4Afya ya akili itatibiwa tar 23 Oct. Baada ya hapo ndio akili zitawakaa sawa
Umeamka?Wewe tulia unywe chai naona unataka ligi. Hatutamaliza utaishia kunitukana tuu maana nawajua.
Aisee nyinyi ni wa kupigwa tuMsikariri .Mlikariri hivyohivyo kwa goli la morisoni baadae mkapigwa 4
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio usikaririMsikariri .Mlikariri hivyohivyo kwa goli la morisoni baadae mkapigwa 4
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hela wanazo za kuja mapema sasa ndio maana wamekuja na botiMbumbumbu next level, kwanini hamkuwaambia waje mapema?
kauliza swali nyie manyonyo fc, yanga kidume kawafunga mara ngapi?why hujibu swali unakimbilia kupaniki????Lini yanga amwewahi ifunga simba japo 4 kwa 3?, achilia mbali 3 bila?.
Ukiona hivyo ujue unatafuta sehemu ya kupumlia maana uwezo wenu kimataifa unajulikana hususani mnapokutana na timu ndogo kama rivers mnachapika nje ndani.
Nabi akishinda kimataifa jua alikuwa anacheza na wauza chai mtaani maana hata somalia u20 aliwashindwa.
na manyonyo je???Yanga mtu wanayeweza kumfunga ni zalan fc tu akija kushinda mechi nyingine baada ya zalan kutolewa mniite mbwa nipo hapa😂😂
jibu swali acha kupaniki, hakukusaidiiKinye fc huo uharo jichunguze kwenye nguo za ndani halafu uje hapa useme vizuri