Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Yap, hatua kubwa sana hongera kwaoIla si wamefika fainali?
Hilo kombe labda mkiibe πBado haukomi tuu kuropokaropoka wewe Kolo??
Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu seriousWanaweza tuu kwanza kombe lenyewe halina mvuto... π
Naona unajiwahi kabisaWanaweza tuu kwanza kombe lenyewe halina mvuto... π
Na jezi za man u
Hayaa!!Hilo kombe labda mkiibe π
Yanga akipata hata goli Algeria nipo nimekaa paleππΎππΎ
Kinyonge sanaWanaweza tuu kwanza kombe lenyewe halina mvuto... [emoji38]
Wanaenda kuchinjwa kama kuku
Huu mwaka mtaumwa sana magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kisa tu Yanga.
Chaka lenu la mwarabu tutaendelea kulichoma sijui mtajificha chaka lipiMwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious
Asante Oscar