Eti?!.............

namaanisha kujifungua bila tatizo lolote, kutumia mkac/kushonwa, mie wanangu nimejifungua bila kuchanika hata kidogo, ndio nilimaanisha hivyo, cjui umenipata?

Nimekupata mama,maana nguvu uliyotumia kunielewesha halafu nikisema sijakupata,kitachofuata ni makofi.
 
Wakulu nimeamka. hamjambo lakini? hii mada nzito sana. Na wewe MJ1 uachage kupekua pekua kila mahali!
 
HAhahaha yeah limao au ndimu ndo njia mbadala kwa huyo mama akinyunyuzia tu kitu kina rudi na kuwa bikra hii njia mbona nimeibiwa sana na nilikuwa najua mtoto bikra kumbe mmmmh

njia nyingine mjiiepushe nazo.....utie ndimu huko? jamani...
 
kwahapo nitasema labda maumbile yanatofautiana, kwa mie hata nikimaliza na mr nikiingia kwa bath kujiweka sawa hapo akitaka tena ataanza mwanzo, i mean kama vile alikuwa hajafanya kabisa....upo nami?

Dah kuna mama mmoja iwa anatuvunja mbavu sebuleni pale anasema yeye Mr. wake kila akizama anakuta bikra na amezaa watoto 5 hehehehehe ngoja aje Geoff
 
Dah kuna mama mmoja iwa anatuvunja mbavu sebuleni pale anasema yeye Mr. wake kila akizama anakuta bikra na amezaa watoto 5 hehehehehe ngoja aje Geoff

Hakuna haja ya kubisha,cha kufanya ni kuomba maelezo uwa anafanyafanyaje!
 
Dah kuna mama mmoja iwa anatuvunja mbavu sebuleni pale anasema yeye Mr. wake kila akizama anakuta bikra na amezaa watoto 5 hehehehehe ngoja aje Geoff
angalia usikute huwa anatangaza biashara baada ya kuona we unaondoka ndovu za kufa mtu kila siku kuanzia asubuhi hadi jion.
 
ndo maana nikasema ukiwa umeoa utaelewa maana nzima ya kuvumilia weakness kama hizi, marriage ni uvumilivu esp kwenye weakness za kila mmoja wenu. hakuna mtu anayependa substandards. hapo kwenye red hapo umenifurahisaha.

Umesema kweli Carmel,uvumilivu ndio unatakiwa,mabadiliko ni mengi sana mfano matiti yanaporomoka na kuwa kama ndala,uso unabadilika mikunjo inakuja, hata wengine wananenepa sana na kupoteza kabisa shepu zao.Sasa kama wewe mwanaume ulikuwa unaoa kwa kuangalia sura au umbo ndio hapo matatizo yanaanza.
 
ndo maana nikasema ukiwa umeoa utaelewa maana nzima ya kuvumilia weakness kama hizi, marriage ni uvumilivu esp kwenye weakness za kila mmoja wenu. hakuna mtu anayependa substandards. hapo kwenye red hapo umenifurahisaha.

Hapo kwenye red ni eneo nililofanyia dissertation yangu ya masters ya sosholojia zamani kidogo, unajua kuna haja ya kujua hizi weakness mnazi identify wakati gani wa mahusiano(kabla ya ndoa, wakati wa harusi au mkiwa katika maisha ya ndoa). Ni kitu complicated kidogo ila kuna masuala ya kujidanganya kuvumilia hizo weaknes mwisho wake ndoa nyingi huvunjika kwa migogoro mikubwa isiyo ya lazima. Nitakupa mfano wa harusi ya kabila kitusi ambayo huchukua takribani mwezi mzima lengo likiwa ni kuzitofautisha hizi weakness kati zile zinazovumilika na zisizo vumilika(kikubwa hapa ni zile za kitabia na kimaumbile) mfano mwanamke anaweza kushindwa kuendelea na ndoa iwapo katika kipindi hiki chote alikuwa akipata maumivu wakati wakijamiiana na mumewe mtarajiwa, hapa haitegemewi eti siku moja mume maumbile yake yatapungua hivyo kuendelea na ndoa hii kunamsababishia maumivu mke na wazee wanaamua kuisitisha ndoa hii, the same kwa wanaume. Kifupi sisi binadamu tuna kipimo cha uvumilivu na kwa bahati mbaya kipo kama thermometer hivyo kero inaweza kuvumiliwa kiwango fulani cha kero kikizidi hulipuka.Njia nzuri ni kujua uwezo wako wa kuhimili hizo kero kabla hujaamua kuishi nazo milele. Kwangu mimi maisha ya ndoa na kukosa furaha hayana thamani kama maisha ya useja na kuwa furaha.So its all depend na hizo weakness umeziona lini au zimetokea lini na chanzo nini, ndio hiyo mambo ya kuzivumilia yanafuata.
 
angalia usikute huwa anatangaza biashara baada ya kuona we unaondoka ndovu za kufa mtu kila siku kuanzia asubuhi hadi jion.

Hahahaha yule mama ni wa makamo sana sasa sijui iwa anapaka ndimu! Ngoja aje Geoff ndo rafiki yake mkubwa.
 
thats my gal, its good to accept reallity you know.
 
kwa vyovyote hii dizetesheni ulipata EI PLASI!πŸ˜€
 
thats my gal, its good to accept reallity you know.
realities to be accepted in the course of marriage life.prior to marriages and all that REALITIES TO BE IDENTIFIED FIRST!

my take:you spend with u r love at least for seven years before you think of marriages.
 
Ndo maana mm iwa nasisitiza kuonja mapema au kabla hamjafunga ndoa ni jambo la msingi na la muhimu sana eti ooh mpaka siku ya harusi haya sasa unakuta mtu njia imepanuka unazama mpaka kengere zinaingia duh
 
hehehehe!
hapa narudisha pete kanisani!hapana kubali mimi banaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…