Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
nilishaandika hivi katika kuikabili hoja yako kabla hujaitamka:
NIKIRUDIA RUDIA MTASEMA NAONGEA takriri
si ndiyo uliyoninunulia ukasema itanifaa? umesahau?
Karibu mkuu,mchango wako tafadhari
Sorry ,natoka off point kidogo.
Kaizer nimeipenda signature yako!
dah,sasa si mtu utawashwa weee mpaka ukome kuwa mwanamke.msiache tumkufuru Mungu kwa kutamani kuwa wanaume,au na wanaume kuna kurefuka na kufupika?Hahaha! Inawezekana kweli. Hii mada ya leo sijapata kuona. Kumbe vile vitu huwa vinapanukaga? Mi nilikuwa najuaga viko elastic. Lol! Si ajabu wengine nasikia wanavikanda kwa ndimu na pilipili kwa mbali.
Jamani kweli mahusiano ya kimapenzi ni magumu sometimes,
Hii nimeikuta kwenye site moja, mwanamama analalamika kuwa mumewe kamwambia njia yake imekuwa kubwa so she must do something maana hamvutii tena!! na kuwa ameamua kutafuta nyumba ndogo!
Kilichonishangaza kule mie ni kuwa yule mwanamama anadai hajawahi toka nje ya ndoa yake kwa miaka yote mitatu na kuwa wana mtoto mmoja wa miezi minne ambaye alimpata kwa njia ya operation kwa maana hiyo njia haikupata msuko msuko wa kupush.
Sasa najiuliza sipati jibu kama je ni kweli njia imetanuka iwe sababu ya wewe kutafuta nyumba ndogo? katika hali ya kawaida ya mahusiano huyu mume kweli anampenda huyu mkewe? Maana hainiingii akilini kitend alichokifanya
Some Men never cease to amaize me kwa kweli!!
Kama kweli hali hiyo ya kutanuka itatokea ,nadhani dawa yake kubwa ni mazoezi ya viungo kama aerobic,gym zitasaidia sana,sio ndimu na pilipli.
Hahaha! Inawezekana kweli. Hii mada ya leo sijapata kuona. Kumbe vile vitu huwa vinapanukaga? Mi nilikuwa najuaga viko elastic. Lol! Si ajabu wengine nasikia wanavikanda kwa ndimu na pilipili kwa mbali.
Jamani kweli mahusiano ya kimapenzi ni magumu sometimes,
Hii nimeikuta kwenye site moja, mwanamama analalamika kuwa mumewe kamwambia njia yake imekuwa kubwa so she must do something maana hamvutii tena!! na kuwa ameamua kutafuta nyumba ndogo!
Nadhani unanipata vema ,body langu ni la mazoezi. lakini kumbuka for better for worse.Anza mazoezi mapema mama. Mambo yasije yakaharibika ikawa balaa.
...hovyo kabisa huyo baba,...
imagine Mwanamke akimwambia Mw'ume 'ka mbilimbi kako kamesinyaa'...
utajiskiaje?
...Anatafuta visingizio tu huyo 'Mkulu'...
Nadhani unanipata vema ,body langu ni la mazoezi. lakini kumbuka for better for worse.
dah, wapwa na mabinamu haya maisha mbona yana kasheshe!
lililo kubwa hapo ni kwamba whether kuna fact la kuwa njia imekuwa kubwa au la, ALIKOSEA big time kufikisha ujumbe ki vile kwa mkewe. kwa hiyo wapwa si alitakiwa arudie communication skills 101.
I mean kuna ile mtu unafikisha ujumbe hata kama ulikuwa na nia njema ila njia unayotumia, inaumiza HISIA za mlengwa wakati mwingine beyond repair.
That said, kuna mambo mengine kwneye 6x6 nadhani yanahitaji kuvumiliana na mengine hayasemwi kabisa. Kama najamba wakati wa kula kidude, akanambia si ajabu hamu ikaniisha from that day!
Sasa huyo mwanamama nadhani kwa sasa anahitaji nasaha tu kwa sababu kwanza inawezekana si kweli kiuwa amekuwa mkubwa ila jamaa yake ameshainja nje na kisaikolojia akaona tofauti akadhani ya mkewe kubwa kumbe hakuna kitu.
Tukumbuke kuwa perception ya size inategemea pia:
-style ya kudungana (kuna style zingine inaonekana tight, nyingine itaonekana kawaida ila inavuta (mnato) , nyingine itaonekana kama imekuwa 'juu juu' kuliko kawaida, nyingine unajisikia hata 'hufiki mwisho' kwa sababu ya 'add ons' kama kichuguu au mapaja.
-kipindi gani katika Menstr. cycle (wakati wa ovulation 'utamu' ni tofauti na wakati wa kawaida kwa uzoefu wangu if u know what I mean, sasa wakati huu huo 'utamu' unaweza kudhani kuwa K imekuwa ndogo au vipi?
-hali halisi ya kifamilia, watoto, hali ya kifedha na kiuchumi kwa ujumla, kwa vile haya yanaharibu kabisa hisia za mapenzi kama hayajakaa vema na hivyo unaweza kumhisi mwenzio kuwa 'sio sawa' kama mwanzoni!
Mumeo ni mzaliwa wako wa kwanza siku zote.... mchukulie alivyo....mtoto akililia wembe mpe tu akishajikata somo litaeleweka.to be frank men wako kama watoto, wapenda waridhishwe wao tu bila kujali kama wake zao turidhika
...hovyo kabisa huyo baba,...
imagine Mwanamke akimwambia Mw'ume 'ka mbilimbi kako kamesinyaa'...
utajiskiaje?
...Anatafuta visingizio tu huyo 'Mkulu'...
sasa unaniletea vituko,tutaongea faragha kuhusu haya mazoezi...................tusije tukatoa siri za ndani.Namaanisha hilo zoezi ulilolitaja. Ntamuuliza mkuu nguli kama analijua aje akuanzishie mapeeeeema kabla mambo hayajaharibika.