Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Clouds Media ni Baba wa burudani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Clouds Media ni Baba wa burudani.
Natabiri Mheshimiwa Makonda atakuwa na Kipindi Maalum cha kila wiki hapo Wasafi TV... Kama kile cha Jenerali on Monday.. Anayebisha aweke mzigo tubet..
mkuu TVe ..wanatisha mnooo kwenye grafics kama unavyosema..Jamaa wako vizurHawajaungana ni video tuu ya Diamond imepigwa.....
Hila tv-e iko bora sana kwa graphics design na muonekano kuliko tv zote nchini.....
Hahahahahaaa bosi umenivunja mbavu eti ijue dodoma hahaha itakua TBC3Mbona atakoma huyo Domo ,wakina Polepole watakesha hapo Wasafi tv kutema pumba zao. Vipindi vya ijue Dodoma sijui vyote vitahamia hapo, bila kusahau kurusha live ziara za Rais hadi za makanisani
Hivi ETV nayo ni tv ya kujivunia tv yenyewe vumbi, EATV, ITV Ndo tv bongo ambazo zipo clean akifuatia na azam tv, hizo nyingine ni vumbi picha zao kama za miaka ya utawala wa nyerereWakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya.
Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETVView attachment 702013 View attachment 702014 View attachment 702016
Acha uongoHawajaungana ni video tuu ya Diamond imepigwa.....
Hila tv-e iko bora sana kwa graphics design na muonekano kuliko tv zote nchini.....
Kimuonekano hamna wa kumfikia Azam tv kwa bongo...Mi nilijua EATV na Startv ndo wapo vizuri graphics na muonekano
Kimuonekano hamna wa kumfikia Azam tv kwa bongo...Mi nilijua EATV na Startv ndo wapo vizuri graphics na muonekano
Kimuonekano hamna wa kumfikia Azam tv kwa bongo...Mi nilijua EATV na Startv ndo wapo vizuri graphics na muonekano
UongoJamaa hawajaungana na WCB,ila jamaa wapo fair hawana beef za kijinga kama CLOUDS,mbona wanapiga nyimo zao mara nyingi tu
We mbwiga kwa taarifa yako TVE inamuonekano wa kuvutia kuliko channel zote bongoHivi ETV nayo ni tv ya kujivunia tv yenyewe vumbi, EATV, ITV Ndo tv bongo ambazo zipo clean akifuatia na azam tv, hizo nyingine ni vumbi picha zao kama za miaka ya utawala wa nyerere
Watu gani, Babu Tale na Mkubwa Fella au?Mpaka sasa hiyo WCB radio & Tv imeshafeli kabla ya kuzinduliwa.
Radio na TV ni watu, kitendo cha WCB kuwa ubavuni Mwa watu ambao wao against na Raia ni dalili tosha ya kuanguka kwao.
Kiaz mbatata mama akoWe jamaa n kiaz mbatata sana
Yan wimbo ukichezwa inamaana
Na uchafu wa watautangaza???
Kama mawingu ilishindwa
Kuangushwa na efm bhas hata
Nyie watoto tumewalea wenyewe tunawalambisha mchanga asubuh tu
Saa moja