ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

Kwa hiyo TVE imeshindwa kuishusha Clouds au Wasafi hawawezi kuishusha Clouds bila msaada wa TVE??
 
Natabiri Mheshimiwa Makonda atakuwa na Kipindi Maalum cha kila wiki hapo Wasafi TV... Kama kile cha Jenerali on Monday.. Anayebisha aweke mzigo tubet..

Mbona atakoma huyo Domo ,wakina Polepole watakesha hapo Wasafi tv kutema pumba zao. Vipindi vya ijue Dodoma sijui vyote vitahamia hapo, bila kusahau kurusha live ziara za Rais hadi za makanisani
 
Hawajaungana ni video tuu ya Diamond imepigwa.....
Hila tv-e iko bora sana kwa graphics design na muonekano kuliko tv zote nchini.....
mkuu TVe ..wanatisha mnooo kwenye grafics kama unavyosema..Jamaa wako vizur
 
Kwa hiyo wanaungana ili wapambane na clouds?

TV stations zote zilizobaki zipo ok kasoro Clouds tu ama? fafanua please.
 
Sidhani kama ni rahisi hivo
Wao wanajua chagamoto nyingi, wanajua nini kifanyikeje na nini kisifanyike.....
Wasafi itahitaji muda sana

Mungu ni Pendo
 
Mbona atakoma huyo Domo ,wakina Polepole watakesha hapo Wasafi tv kutema pumba zao. Vipindi vya ijue Dodoma sijui vyote vitahamia hapo, bila kusahau kurusha live ziara za Rais hadi za makanisani
Hahahahahaaa bosi umenivunja mbavu eti ijue dodoma hahaha itakua TBC3
 
Jamaa hawajaungana na WCB,ila jamaa wapo fair hawana beef za kijinga kama CLOUDS,mbona wanapiga nyimo zao mara nyingi tu
 
We jamaa n kiaz mbatata sana
Yan wimbo ukichezwa inamaana
Na uchafu wa watautangaza???

Kama mawingu ilishindwa
Kuangushwa na efm bhas hata
Nyie watoto tumewalea wenyewe tunawalambisha mchanga asubuh tu
Saa moja
 
Mpaka sasa hiyo WCB radio & Tv imeshafeli kabla ya kuzinduliwa.

Radio na TV ni watu, kitendo cha WCB kuwa ubavuni Mwa watu ambao wao against na Raia ni dalili tosha ya kuanguka kwao.
 
Hivi ETV nayo ni tv ya kujivunia tv yenyewe vumbi, EATV, ITV Ndo tv bongo ambazo zipo clean akifuatia na azam tv, hizo nyingine ni vumbi picha zao kama za miaka ya utawala wa nyerere
We mbwiga kwa taarifa yako TVE inamuonekano wa kuvutia kuliko channel zote bongo
 
Mpaka sasa hiyo WCB radio & Tv imeshafeli kabla ya kuzinduliwa.

Radio na TV ni watu, kitendo cha WCB kuwa ubavuni Mwa watu ambao wao against na Raia ni dalili tosha ya kuanguka kwao.
Watu gani, Babu Tale na Mkubwa Fella au?
 
We jamaa n kiaz mbatata sana
Yan wimbo ukichezwa inamaana
Na uchafu wa watautangaza???

Kama mawingu ilishindwa
Kuangushwa na efm bhas hata
Nyie watoto tumewalea wenyewe tunawalambisha mchanga asubuh tu
Saa moja
Kiaz mbatata mama ako
 
Back
Top Bottom