EU imejipiga "risasi ya ya kwenye mapafu" kwa kuiwekea vikwazo Urusi

Vp umejisahaisha ama! Mbona kimbunga Jobo alikwenda India kufanyiwa matibabu kwa gharama zako huku wewe kwenda tu hapo Mwananyamala hospital ni anasa…
Sasa Mjerumani kajikaza vipi na anaingia gharama ili Nord1 iwashwe?
 
Natania tu mjomba, chuma cha pua cha mjerumani kimegeuzwa plastic pot la kujisaidia mtoto.. hahahaaaha! Ama hakika vita vitamu kama sio vitanzi.
 
hizi porojo zenu toka mwanzo wa vita mliziimba sana ...wenzio chupi imewabana nataka wamuondolee vikwazo baba lao (Russia) wewe unakuja na ngonjera eti waachane na jamaa siku za hivi karibuni hiyo ni ngumu mno ni jambo la miaka zaidi ya 25
 
Kama EU inapata matatizo ambapo kwenu nyie na Russia ni faida si muache wajifie wenyewe kuliko kuja humu kuwastua makosa yao ili iweje?


Kupayuka kwenu kunaonesha EU inafanya vizuri otherwise mngenyamaza EU ife vizuri
 
Kama EU inapata matatizo ambapo kwenu nyie na Russia ni faida si muache wajifie wenyewe kuliko kuja humu kuwastua makosa yao ili iweje?


Kupayuka kwenu kunaonesha EU inafanya vizuri otherwise mngenyamaza EU ife vizuri
Aliyeongea hayo sio mimi ni Waziri mkuu wa Hungary so sisi tunapashana habari tu wanavyolalamikiana kwa vikwazo vyao wenyewe
 
samahani nauliza tuuu ama nasema tu haya kwauchache!!!!!
GER wanambadala gani watakaoutumia kuachana na RUSSIA kabla ya mwaka huo maana RUSSIA nae anaweka
Hao ulowataja wanailisha DUNIA hawatatosha bila kushirikiana na RUSSO na UKRAINE
In long run RUSSIA kwenye msosi lazma atategemewa maana hii OP inaonesha itafika mwaka pia inaweza ikavuka
Je ikivuka mwaka gap lachakula cha UKRAINE kwaharaka haraka kitazibwa nanani maana wauzaji wakuu wanafaka DUNIANI ni RUSSIA na UKRAINE natunaona tayari UKRAINE anakua sio salama tena kwasasa nabaadae
Unasema hawawez kutoa vikwazo wakat tayar US kashatoa baadhi ya vikwazo kwenye msosi mbolea nk
MKUU kuitenga RUSSIA na DUNIA ngumu sana najambo ambalo WEST wamefeil nasidhanii kama watafaulu kwasasa cjui kwamiakaengine ila kwahili liendelealo tayari wamefail
Ili uimiliki RUSSIA ama kuiangusha lazma upambane kuimiliki UCHINA na INDIA waweze kumtenga RUSSIA
Maana kwasasa wanachangia pakubwa RUSSIA kuendelea kupambana nachangamoto wapitiazo
Mwisho kabisa WEST wanataka kuiaminisha DUNIA kwamba wao kuitenga RUSSIA kanakwamba DUNIA nzima imeitenga RUSSIA jambo ambalo sio kweli nawatachelewa sanaaa tumeiona AFRIKA ASIA AMERKA KASKAZINI wapo na RUSSIA nahawa bado wanaweza kuifanya RUSSIA ikawa imara pia
EU wanajidanganya kuachana na GESI NISHATI navitu kadhaa vile BASIC kutokea RUSSIA wasahau US aliwadanganya atawapea MAFUTA na GAS leo kiko wapi!!!??
Nawanachofanya WEST niubinafs kujiangalia wao wanaona wengne sio watu wanawapuuza
Sijamaliza ila nimeishia hapa MKUU ahsanteee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi porojo zenu toka mwanzo wa vita mliziimba sana ...wenzio chupi imewabana nataka wamuondolee vikwazo baba lao (Russia) wewe unakuja na ngonjera eti waachane na jamaa siku za hivi karibuni hiyo ni ngumu mno ni jambo la miaka zaidi ya 25
Anajua ila tu anajitoa ufahamu tu😂😂😂 Putin alijua hatua zote ambazo zingefuatwa maana walianza na mikwara akawa anawachora tu, kweli bhana wakaingia kwenye 18 zake
 
Saudia japo ndiomzalishaji mkubwa wa mafuta saivi anauza mafuta GHAFI ya kwenye matanki yake na amebado uagizaji wa mafutasafi kutoka Russia 😄😄😄
 
Ndio watajua hawajui
 

Attachments

  • Screenshot_20220715-191723_Google.jpg
    214.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220715-190223_Facebook.jpg
    166.1 KB · Views: 4
Aliyeongea hayo sio mimi ni Waziri mkuu wa Hungary so sisi tunapashana habari tu wanavyolalamikiana kwa vikwazo vyao wenyewe
Huyo jamaa wa Hungary ni propagandist wa Russia kama ulivyo wewe

How can we expect anything different from you two?
 
Huyo jamaa wa Hungary ni propagandist wa Russia kama ulivyo wewe

How can we expect anything different from you two?
We jamaa bhana, wake up, huyu jamaa kajipanga
 

Attachments

  • Screenshot_20220715-191723_Google.jpg
    214.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220715-190223_Facebook.jpg
    166.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1657901357624.jpg
    31.2 KB · Views: 3
Nilitaka nimjuze kuwa yeye anachozungumzia Ni njia za KUPUNGUZA athari za vikwazo walivyojiwekea wao wenyewe! Maana yake anathibitisha kuwa ni kweli EU wamejipiga RISASI ya kifua na wameshindwa kupumua vizuri
 
Ni wewe huyu nnaekujua au wahuni washapita na account yako?
 
URUSI sio ZIMBAMBWE,kitendo cha kuwa na mafuta na gesi kwa hapa duniani basi uwezi kufa njaa.umeona wapi mtu aliyewekewa vikwazo ela yake ikapanda thamani baada ya kushuka thamani.
 
Saudia japo ndiomzalishaji mkubwa wa mafuta saivi anauza mafuta GHAFI ya kwenye matanki yake na amebado uagizaji wa mafutasafi kutoka Russia 😄😄😄
Kiongozi mpya wa Saudia alishajua unafiki wa Merikani,ndio maana mapema mwaka huu alipuuzia kujibu/pokea simu ya Rais wa Merikani, hata kiongozi wa Qatar alikataa kupokea simu ya Biden.

Wamerika watu wa ajabu sana, wana imani kwamba binadamu ambao si wazaliwa/raia wa Amerika ni nusu binadamu - dhana hiko deep seated kabisa na actually hiko more pronounced kwa Wamerica wenye asili ya Anglo-Saxon ubaguzi huu hawausemi moja kwa moja lakini wanau-practice kimya kimya, mfano: asili mia 98% ya walio wahi kuwa Rais wa Merikani wana asili ya Anglo-Saxon hata mama yake Obama ana asili ya huko, hapo hatuja zungumzia majaji!! Kuna wakati fulani Mmerikani mwenye asili ya Ugiriki alitaka kuwania kiti cha Urais, media zilibeza beza asili yake mpaka nikiona aibu sana toka visanga hivyo ndio nikatambua undani wa viumbe hawa.

Ukichunguza kwa umakini utakuta viogozi wa ngazi za juu huko Merikani karibu wote wamesoma Vyuo Vikuu aidha vya Harvard au Yale, wengi wao walikuwa ni members wanao abudu imani za kishetani na kufundishwa kuwa wakatiri - ebu check body language ya Biden anapo zungumza kumuhusu Putin au Bush Jr alipo adhinisha kifo cha Sadam Hussein kwa kunyongwa kwa kamba, wakati Bush Jr anazungumza na media kuhusu uhamuzi wake Bush Jr was as cool as cucumber, kisaikolojia niliona Bush si binadamu wa kawaida hivyo nikajitahidi kufatilia background yake - nikakuta kumbe alisoma Chuo Kikuu cha Yale na alikuwa member wa waumini wa mashetani na ukatiri (Bones and Skull) na baba yake alisoma Chuo hicho, John Kerry, Clinton na mkewe nk. Babake Bush alikuwa members wa dini ya kishetani baadae akaja kuwa Director wa CIA kwenye miaka ya 1960s ina aminika alihusika kwa njia moja au nyingine kwa kifo cha Rais Kennedy!! Ukifatilia kiundani kuhusu watu hawa wala huwezi kushangaa kinacho endelea Duniani kinacho sababishwa na hulka za watu hawa wa ajabu - watu wakiona tunawasema sema sana wanakasirika kuliko maelezo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…