samahani nauliza tuuu ama nasema tu haya kwauchache!!!!!
GER wanambadala gani watakaoutumia kuachana na RUSSIA kabla ya mwaka huo maana RUSSIA nae anaweka
Hao ulowataja wanailisha DUNIA hawatatosha bila kushirikiana na RUSSO na UKRAINE
In long run RUSSIA kwenye msosi lazma atategemewa maana hii OP inaonesha itafika mwaka pia inaweza ikavuka
Je ikivuka mwaka gap lachakula cha UKRAINE kwaharaka haraka kitazibwa nanani maana wauzaji wakuu wanafaka DUNIANI ni RUSSIA na UKRAINE natunaona tayari UKRAINE anakua sio salama tena kwasasa nabaadae
Unasema hawawez kutoa vikwazo wakat tayar US kashatoa baadhi ya vikwazo kwenye msosi mbolea nk
MKUU kuitenga RUSSIA na DUNIA ngumu sana najambo ambalo WEST wamefeil nasidhanii kama watafaulu kwasasa cjui kwamiakaengine ila kwahili liendelealo tayari wamefail
Ili uimiliki RUSSIA ama kuiangusha lazma upambane kuimiliki UCHINA na INDIA waweze kumtenga RUSSIA
Maana kwasasa wanachangia pakubwa RUSSIA kuendelea kupambana nachangamoto wapitiazo
Mwisho kabisa WEST wanataka kuiaminisha DUNIA kwamba wao kuitenga RUSSIA kanakwamba DUNIA nzima imeitenga RUSSIA jambo ambalo sio kweli nawatachelewa sanaaa tumeiona AFRIKA ASIA AMERKA KASKAZINI wapo na RUSSIA nahawa bado wanaweza kuifanya RUSSIA ikawa imara pia
EU wanajidanganya kuachana na GESI NISHATI navitu kadhaa vile BASIC kutokea RUSSIA wasahau US aliwadanganya atawapea MAFUTA na GAS leo kiko wapi!!!??
Nawanachofanya WEST niubinafs kujiangalia wao wanaona wengne sio watu wanawapuuza
Sijamaliza ila nimeishia hapa MKUU ahsanteee!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app