EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Kipi kimepungua kwa dhati ya moyo wako

Ni vizuri hata umeuliza lakini sioni kama umesoma hata sentensi ya mwisho “civic space imepungua”.

Ukweli ni huu, unadhani ni CCM tu ndio wenye nia nzuri (mpaka sasa nchi hii ina maovu mengi na Chadema hakuwahi kutawala). Na sio Chadema wenye mabaya tu!! Lakini cha ajabu hapa ni kuwa wema unahusishwa na CCM na ubaya unahusishwa na Chadema. Watu wengi sio CCM wala Chadema!! Ndio maana nikuzuia usitumie “sisi” kwa sababu hiyo unatufanya sote kuwa CCM au unafanya wengine wote kuwa Chadema.

Civic space ya wale wasiokuwa CCM moja kwa moja inachukuliwa ni ya Chadema na hivo lazima ubinywe. Swala la Mbowe na EU ni swala moja, je Chadema kutaka kufanya mikutano ikazuiliwa kwa pretext ya “usalama” au “magonjwa ya kuambukiza” - ni sawa? Wakati huo huo CCM viongozi wa juu wakifanya ziara!! Wao madhila hayo hayawapati?? Najua utasema ni Polisi na sio CCM wanazuia wapinzani kufanya shughuli zao - mimi nasema CCM ni beneficiary wa matendo ya Polisi.
 
CCM-Tanzania Sio Polisi-Tanzani, Na Polisi -Tanzania Sio CCM-Tanzania
 
Mbona CHADEMA Digital inafeli kuna nini?
MBONA na ccm inafeli pakubwa kwani kuna nini?mafisadi ccm wala rushwa ccm
makashfa yote ya nchi hii ccm
Maji na umeme vipi baada ya miaka 60 ya uhuru
katiba mpya inawatesa na mavi yanawabana kuna ni??
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Hao wenye uchungu wako wapi?.Au maujinga yote yaliyopo wewe ni kipofu hauoni.We endelea kusifia maana kamfereji kanamwagilia maji upande wako ila kumbuka iko siku katakata.
 
Kaikilize tena mwenyewe usitumie maoni ya Lissu
 
Dictator CCM anaanza kuonekana rangi zake .... Kudos EU ....!!
 
free state your sore a55, ndiyo wanaowalisheni hao,

panua paja sasa mti wajaaa
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Huu uchungu wako wa kinafiki umesaidia nini nchi hii. Mnabambika kesi wapinzani ndo mnaonesha uchungu au uchu?
 
Katika kitu ambacho mabeberu hawajali ni demokrasia katika nchi za Africa. Ukitaka nchi ipigwe pini na mabeberu labda iingilie maslahi yao ya kiuchumi au izuie ushoga. Ila hayo ya demokrasia ni propaganda tu kwao.
fact
 


Nawashauri tu kwa manufaa ya taifa. Wekeni tume huru na wafungwa wote wa kisiasa waachiwe na mikutano ya kisiasa iwe ruksa. Bila hivi legacy ya Rais Samia haita heshimiwa hata kidogo. Lakini mtapata matatizo mengi na kuzuia uwekezaji pasipo lazima. Ni bora Chama kiwakilishe ukweli ili mjue mlipo kuliko kuwa fake na 100% ya wabunge ambao wengine hawapendwi. Watanzania hawapendi kufanywa wajinga au kulazimishwa
 
Wafungwa gani wakisiasa wako jela?
 
Kuwa free state haina maana kwamba unaweza kuwatesa na kuwafanyia raia wako jinsi unavyojisikia tu na wengine wakabaki wanakutizama tu bila kufanya chochote.

Human rights are universal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…