EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Ili wawe na uchungu na TanzΓ’nia wakubali kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, na mengine machafu ambayo hata ukifanyiwa wewe hunyamazi?

Ili mtu awe na uchungu awe namna gani?
 
Kuwa free state haina maana kwamba unaweza kuwatesa na kuwafanyia raia wako jinsi unavyojisikia tu na wengine wakabaki wanakutizama tu bila kufanya chochote.

Human rights are universal.
Nani kadhulumiwa haki yake?
 
Kwahiyo ushahidi wa muuza mbege na huwo mahita na wengine ndio unaothibitisha kwamba mbowe ni gaidi kama mlivyomuaminisha mama yenu?

TanzΓ’nia inachafuliwa ni ccm wenyewe kwa matendo yao maovu dhidi ya watu wasionahatia.

Jirekebisheni na tabia zenu mbaya sio mfanye uchafu wenu halafu msingizie wappinzani. ningekuwa na uwezo kidogo wa kupiga vipapai ningeanza hapo lumumba.
 
Mkuu kwani wewe ni mahakama?
 
Ujinga mzigo yaani Sabaya nae anaitwa miamba duh
 
....na bakuli la ombaomba upeleke wete
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Ili tujue nyinyi mliombali na kuendelea hebu hawo mbwa wenu wa kipoliccm wafungieni halafu ingieni uwanjani tucheze gemu.
 
Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote.

Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
Tuta kwani wewe ni nani ? Nchi yenyewe kuanzia Nyerere wamewekwa Na waingereza madarakani, Mngereza akianza kukatiwa alivyopewa Na Nyerere ,hivi Leo CCM inakufa
 
EU ni jumuia inayoundwa na watu, wenye uakilishi hapa nchini, tena wanajua hata shule zetu zinaupungufu wa vyoo wanajenga, unadhani wanaweza kushindwa kujua kinachoendelea kwa swala la mbowe na wenzake! Kama ni EU imeitaka serikali ,hapo Chadema wanaingiaje? Jumuia nyingi duniani ziliitaka serikali ya makaburu wakati huo imuachie Mandela, hawakutumwa n'a ANC hapana. Kama ni swala la kuonyesha dunia jinsi hali ya nchi yetu ilivyo kwenye upande wa haki ,uhuru na hata uvumilivu wa mawazo yanayopingana na serikali,hiyo siyo kazi ya Chadema tu ni kazi ya watanzania wote wapendao haki.
 
Uzuri tumeishakujua kuwa wewe ndiye Samia unatumia majina bandia kujipigia debe. Ukweli utabaki palepale kuwa urais umekupwaya
 
Ili tujue nyinyi mliombali na kuendelea hebu hawo mbwa wenu wa kipoliccm wafungieni halafu ingieni uwanjani tucheze gemu.
Police kwenye job description zao kunasehemu Imeandikwa kuisaidia CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…