Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Yawezekana!! Ila kwangu naona wazidi kuboresha tech ili hata kama ujazo wa battery ni mdogo lakini bado ikaje na chaji kwa muda mrefu sana na pia battery zichukue muda mrefu zaidi kabla ya kuhitajika kuwa replacedC.. ndiyo afu naonaga kutoa betri na kulirudisha kuna punguza ufanisi wa betri