EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (๐ฅ๐ฒ๐ฝ๐น๐ฎ๐ฐ๐ฒ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฎ๐๐๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฒ๐)
Yawezekana!! Ila kwangu naona wazidi kuboresha tech ili hata kama ujazo wa battery ni mdogo lakini bado ikaje na chaji kwa muda mrefu sana na pia battery zichukue muda mrefu zaidi kabla ya kuhitajika kuwa replaced