Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
 
Wao si wameamua kuwapa chadema ili walete sintofahamu, na cdm navyowafahamu watatafuna kila kitu hawabakizi hata kumbukumbu kisha wanaanza kukutukana, hao wazungu waulizage vitu vingine
 
Kwa nini wanajitoa?

Serikali iqngalie namna ya kuzungumza na hawa jamaa.

Bado hatujawa na uwezo wa kuendesha mambo yetu wenyewe bila misaada yao. Huo ndio ukweli.

Matamko ya majukwaani ya kisiasa hayana uhalisia na maisha yetu huku mtaani.

Tuzungumze na wahisani na wadau wa maendeleo, tuwe na kauli nzuri. Hata wao ni binadam, haiwezekani wanatusaidia ila sisi kila siku ni kuwananga tu.

Hii sio njema kwetu.
 
Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
 
Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Wewe hatua hii wameichukua baada ya JPM kusema watanzania hatuhitaji njia za uzazi wa mpango ila anataka tuzaliane, sasa hayo ya ushoga ni yako mwenyewe
 
kuna wapumbavu wanakejili hiyo misaada, ngoja iondoke ili watu wapate akili. maana upumbavu wa watanzania hauvumiliki, rais na familia yake hata wakienda kutibiwa muhimbili watalazwa VIP na kupewa huduma zote, wewe mwimba mapambio ya kumsifu utafia kitandani hata panadol hutapata.
 
Back
Top Bottom