Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 585
Kabisa mkuu, nchi yetu ni huru kabisa..Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, nchi yetu ni huru kabisa..Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Acha kudanganya watu mitandaoniLile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018 hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Acha bange kwenye mambo ya msingiWao si wameamua kuwapa chadema ili walete sintofahamu, na cdm navyowafahamu watatafuna kila kitu hawabakizi hata kumbukumbu kisha wanaanza kukutukana, hao wazungu waulizage vitu vingine
Kweli ccm ni nyoka wa makengeza.,ninyi mmeona sharti la EU ni moja tu,mengine 14 hamuyaoni?Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Ndugu , atakayeumia Ni wewe na mimi na Yule na Wala siyo jiwe z jiwe hajui hata Bei ya ungaz Wala sukari Wala nguo, Kodi zako ndio zinamlisha na kumvalisha .....wacha wajitoe wote tuone hii umbabe wa jiwe utamufikisa wapi, hakuna mtu pubavu katika hii dunia kaa yule mtu anafikiria anajua kila kitu ila hali yeye ni mjinga tu wa kawaida,next itakuwa usa
Waafrika akili tunazo wachache , wengine hamuna kituAkili za kiafrika na bara la afrika ifike muda tubadilike, nchi imepata uhuru miaka 54 iliopita lakini bado ombaomba. Ni sawa na kijana alieowa na kuomba kula kwa wazazi wake.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Tulia wewe....siku mshahara ukianza kuchelewa apo Lumumba NDIO utajua ni maana ya misaada ya EUWaondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
kuna wapumbavu wanakejili hiyo misaada, ngoja iondoke ili watu wapate akili. maana upumbavu wa watanzania hauvumiliki, rais na familia yake hata wakienda kutibiwa muhimbili watalazwa VIP na kupewa huduma zote, wewe mwimba mapambio ya kumsifu utafia kitandani hata panadol hutapata.
Huyo sio mmawia wala nini, kajipachika jina tu.Wewe kweli mmawia! Halafu wewe kwenu ni Msumbji sio Tanzania. Jiandae kisaikolojia.
New project 2018 naona amekushika kendeA
Acha kudanganya watu mitandaoni
KfW mradi huo umefika mwisho na walituma consultant wao kufanya assessment kwa miradi yote walisupport hapa Tanzania Lengo la kufanya hivyo ni ili kuandaa vipaombele vya next funding ya KfW ambayo inatarajiwa kuanzia June 2019
Kijana acha uongo narudia kijana acha uongo KfW wanarudi tena with new projects in 2018
Unajua n kwannn mataifa yaliyoendelea yaanendelea na yataendelea kufadhili miradi mbalimbali Tanzania?
Dogo usirudie kudanganya tena
Cdm ina serikali ?! Au hujui la kuandika [emoji107]
walipa kodi nao ndiyo kwanza haooo wanachapa lapa kuelekea Kenya, Zambia, Burundi, Malawi, nk.Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Wacha wajitoe wote tuone hii umbabe wa jiwe utamufikisa wapi, hakuna mtu pubavu katika hii dunia kaa yule mtu anafikiria anajua kila kitu.
Next itakuwa USA