Typing error hiyo new projects n 2019New project 2018 naona amekushika kende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing error hiyo new projects n 2019New project 2018 naona amekushika kende
Sasa kama wamesepa sasa uwafanyeje? Hv na kwenye nchi zao wanafanyiwaga hivi au wao hua hawasaidiwi?Tulia wewe....siku mshahara ukianza kuchelewa apo Lumumba NDIO utajua ni maana ya misaada ya EU
Huyo sio mmawia wala nini, kajipachika jina tu.
Labda mwambie Zitto, mimi sihusiki.Waambieni wasijitoe ufahamu hao bado na watanzania. Tunawahitaji.
KFW unajua maana yake? Wanapataje pesa za misaada?Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Kwa nini wanajitoa?
Serikali iqngalie namna ya kuzungumza na hawa jamaa.
Bado hatujawa na uwezo wa kuendesha mambo yetu wenyewe bila misaada yao. Huo ndio ukweli.
Matamko ya majukwaani ya kisiasa hayana uhalisia na maisha yetu huku mtaani.
Tuzungumze na wahisani na wadau wa maendeleo, tuwe na kauli nzuri. Hata wao ni binadam, haiwezekani wanatusaidia ila sisi kila siku ni kuwananga tu.
Hii sio njema kwetu.
Wewe ndiye yule anayejifunza kupakatwa?Mmezoea kupakatwa nchi itaenda tu
Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Wazalendo tupo wengi, tutalipa tu kodi fresh, tujenge nchi yetuwalipa kodi nao ndiyo kwanza haooo wanachapa lapa kuelekea Kenya, Zambia, Burundi, Malawi, nk.
labda kodi watalipa wale wajeda wabeba korosho!