Uwe unasoma unaelewa kwanza basi, usikimbilie kujibu tu, wapi pameandikwa USA na Brazil wameruhusiwa kuingia Ulaya?Ujue Wazungu walivyo wanafiki
Wameruhusa USA na Brazil kuingia ulaya ila Nchi nyingi za Africa hazijaruhusiwa
Tukumbuke Brazil na USA ndio zimeathirika zaidi na malaria
Wasipotupa viza tutaingia Ulaya hata kwa miguu.Weka link tukasome.
Uwe unasoma unaelewa kwanza basi, usikimbilie kujibu tu, wapi pameandikwa USA na Brazil wameruhusiwa kuingia Ulaya?
Hiyo ndio link nimeombaWasipotupa viza tutaingia ulaya hata kwa miguu.
Brazil na USA zimezingatia "pandemic data publication" protocol.Ujue Wazungu walivyo wanafiki
Wameruhusa USA na Brazil kuingia Ulaya ila Nchi nyingi za Africa hazijaruhusiwa
Tukumbuke Brazil na USA ndio zimeathirika zaidi na malaria
Sasa ulitaka aongelee S/Africa na Kenya kwani yeye ni raia wa huko?Kenya, south Africa pia hawaruhusiwi hilo mleta mada unaliongeleaje naona uko kimya umekomalia Tanzania tu ulivyo mnafiki
Shenghen nao wametoa list ya nchi za Africa watakaziruhusu kuingia kwao ambazo ni 4 tu.........UTALII hakuna namna
Mkuu hakuna link juu ya hili, ni utayari wa cash ,,mwili na roho ngumu tu..ulaya kwa miguu,,mbona wenzetu Ethiopia wanaweza?Hiyo ndio link nimeomba
Brazil na USA zimezingatia "pandemic data publication" protocol.
Tanzania sijui ipo sayari gani isijue vitu basic kama hivi!