Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 994
Pimbi ww fala tu wwSasa wewe hata kuandika hujui,usi ni quote pimbi wewe.
Pimbi ww fala tu wwSasa wewe hata kuandika hujui,usi ni quote pimbi wewe.
Pimbi ww fala tu ww
Basha unalo nyuma au hulioni!?Bwabwa mkubwa naona unatafuta Basha humu.
Rejea taarifa yako kama hii ramani ni ya kweli.Umoja wa Ulaya umetoa taarifa kwa mataifa kadhaa ambayo raia wake wanaweza kupata Visa kuingia nchi wanachama wa umoja huo huku zitizuia raia wa baadhi ya mataifa ikiwepo Tanzania kutoruhusu raia wake kupata Visa.
TAARIFA HAZINA MAANA KWAKUWA SISI NI WAZIMA NA ANAYEBISHA AJE ATUANGALIETODAYS,
Tumeanza kuvuna matunda ya kutotoa takwimu sahihi za corona na kufanya mambo bila kuwa serious. Hii itatutesa sana na mtu anayepaswa kulaumiwa ni jiwe peke yake.
Rejea taarifa yako kama hii ramani ni ya kweli.View attachment 1493808
Naongezea/kurekebisha taarifa yako kwa kuweka ramani inayojieleza yenyewe kuhusu nchi ambazo haziruhusiwi kuingia nchi za EU, kama unaiamini.Nimerejea taarifa ila bado sijakuelewa nini unamaanisha!.
aliuliza kuhusu UK ambapo naona pamoja na kujitoa EU ila wanapewa heshima.Uk si wameshajitoa EU?
Kweli wasije kabisaaa... utalii wa ndani inatosha... tutafaidika kutalii mbuga zetu na ma land-cruisers extended kwa bei nusu, na malazi pia (sijui bado kama kuna kipengele cha extended pale au vipi)...Kwani Ulaya ni mbinguni na wao wasije kwetu.
Unamaanisha hata taarifa za mapato na matumizi ya fedha za umma hazina maana kwasababu tu wazima. Ndivyo wana ccm wengi wanavyofikiria. Awamu hii ni awamu ya mambo ya kienyeji.TAARIFA HAZINA MAANA KWAKUWA SISI NI WAZIMA NA ANAYEBISHA AJE ATUANGALIE
NimeshangaaUwe unasoma unaelewa kwanza basi, usikimbilie kujibu tu, wapi pameandikwa USA na Brazil wameruhusiwa kuingia Ulaya?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Kwanza hiyo nauli mnayo? Ni sawa na kupiga bomu mochwari.
Na wao watapoteza mapatoShenghen nao wametoa list ya nchi za Africa watakaziruhusu kuingia kwao ambazo ni 4 tu.
Moroco,Algeria,Tunisia,Rwanda.
Utalii kwa mwaka huu tumepoteza aisee.
Wenzetu hua wanakua bailout na serikali zao,sisi je?Na wao watapoteza mapato
nazungumzia china biashara yao kubwa inafanyika afrika juzi nilikuwa natafuta nyavu za uvuvi nikaambiwa viwanda toka china havijaanza kufanya kazi hata hao Eu nao pia wanategemea sana afrika kwa biasharaWenzetu hua wanakua bailout na serikali zao,sisi je?
Kwani China iko katika nchi za Schengen?nazungumzia china biashara yao kubwa inafanyika afrika juzi nilikuwa natafuta nyavu za uvuvi nikaambiwa viwanda toka china havijaanza kufanya kazi hata hao Eu nao pia wanategemea sana afrika kwa biashara
Kumbe Lissu haendi Tena ubelgiji, ngoja tukomae nae hapahapa na hivi habari barakoaKenya, South Africa pia hawaruhusiwi hilo mleta mada unaliongeleaje naona uko kimya umekomalia Tanzania tu ulivyo mnafiki.