Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 994
Itamtesa nani? Mbona Kenny, South Sudan, na nchi nyingine Kama USA na Brazil hazirusiwi!? Itawatesa ambao wanaichukia Serikali. Kwa unasema itakutesa wakati huna mpango wa kwenda huko ulayaTODAYS,
Tumeanza kuvuna matunda ya kutotoa takwimu sahihi za corona na kufanya mambo bila kuwa serious. Hii itatutesa sana na mtu anayepaswa kulaumiwa ni jiwe peke yake.