Itamtesa nani? Mbona Kenny, South Sudan, na nchi nyingine Kama USA na Brazil hazirusiwi!? Itawatesa ambao wanaichukia Serikali. Kwa unasema itakutesa wakati huna mpango wa kwenda huko ulayaTODAYS,
Tumeanza kuvuna matunda ya kutotoa takwimu sahihi za corona na kufanya mambo bila kuwa serious. Hii itatutesa sana na mtu anayepaswa kulaumiwa ni jiwe peke yake.
Ila hazirusiwi raia wake kuingia ulayaBrazil na USA zimezingatia "pandemic data publication" protocol.
Tanzania sijui ipo sayari gani isijue vitu basic kama hivi!
ha..ha..h.aa...we hujatulia hata kidogo!Kwanza hiyo nauli mnayo? Ni sawa na kupiga bomu mochwari.
Et siasa, kwahyo hizo nchi zote zilileta siasa. Kwa taarifa yako nchi za Afrika zilizoruhusia Ni 11 pekee na zenyewe naona hata hazieleweki kimaendeleo ningi zaoTunaleta Siasa kwenye mambo ya msingi haya ndiyo matokeo yake.
TODAYS,
Tumeanza kuvuna matunda ya kutotoa takwimu sahihi za corona na kufanya mambo bila kuwa serious. Hii itatutesa sana na mtu anayepaswa kulaumiwa ni jiwe peke yake.
Kenya yenye kufanya Curfew za mizaha mizaha nani atairuhusu.Kenya inayotoa takwimu sahihi mbona pia wamezuiliwa?
Et siasa, kwahyo hizo nchi zote zilileta siasa. Kwa taarifa yako nchi za Afrika zilizoruhusia Ni 11 pekee na zenyewe naona hata hazieleweki kimaendeleo ningi zao
message sentUmeelewa point yangu au unabwabwaja tu
[emoji16]Mkuu hakuna link juu ya hili, ni utayari wa cash ,,mwili na roho ngumu tu..ulaya kwa miguu,,mbona wenzetu Ethiopia wanaweza?
Wamechakata takwimu pia wameshindwa kuwa serious lakini sisi ndio mbaya zaidi.Kenya inayotoa takwimu sahihi mbona pia wamezuiliwa?
Hilo anajifanya hakuliona huyo kamanda uchwara wa ufipa.Kenya, South Africa pia hawaruhusiwi hilo mleta mada unaliongeleaje naona uko kimya umekomalia Tanzania tu ulivyo mnafiki.
Shenghen nao wametoa list ya nchi za Africa watakaziruhusu kuingia kwao ambazo ni 4 tu.
Moroco,Algeria,Tunisia,Rwanda.
Utalii kwa mwaka huu tumepoteza aisee.
Mkuu pamoja na kuvuna 'mabua' ila siyo nyie tu, hata raia wa trump wamepigwa pin no kuingia nchi za umoja wa ulaya.Tumeanza kuvuna matunda ya kutotoa takwimu sahihi za corona na kufanya mambo bila kuwa serious. Hii itatutesa sana na mtu anayepaswa kulaumiwa ni jiwe peke yake.
Nadhani skuli uliyosoma ilikuwa haina mwalimu mzuri wa kiswahili ndiyo maana unafiki wako mpaka unashindwa kuchunguza bandiko na umeshindwa kuelewa.Kenya, South Africa pia hawaruhusiwi hilo mleta mada unaliongeleaje naona uko kimya umekomalia Tanzania tu ulivyo mnafiki.
Huifahamu hii industry vzr so huwezi kuelewa,Spending ya mtu 1 from Us/Uk/Europe ni sawa na Spending ya wachina 5 mpk 6.Kwani lazima waje kutoka EU?
Tunao Wachina in taifa kubwa
Kweli kabisa, malaria haikubalikiUjue Wazungu walivyo wanafiki.
Wameruhusa USA na Brazil kuingia Ulaya ila Nchi nyingi za Africa hazijaruhusiwa.
Tukumbuke Brazil na USA ndio zimeathirika zaidi na malaria.
Kama wewe ni mbuzi jike usitegemee wakuache. Labda ziwe ndafu.Shobo tu kwani wao twende kwao kuna nini ambacho watz tunaimport ambach china hakipo.. Tena watuache. Nasema watuache hao mabeberu.