Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

Pole mkuu.
 
Unaweza kuhangaika kutafuta anayekuibia mke wako kumbe unayemfahamu wewe ni mmoja wengine huwajui.Sababu za Wake za watu kutoka ni personal reasons za wake za wake wenyewe .Ni vema ukashughulika kunyosha internal forces kuliko kutafuta external forces.
 
Mwanaume anayemshambulia mwanaume mwenzio kisa kutoka na mke wake ni mjinga , Kwa maana mwenye makosa ni mke wake , mke kamsaliti means hamuheshimu na hampendi ko anachotakiwa ni kuachana na huyo mwanamke na sio kumshambulia , aweke hasira pemben
Mwananke anaachwa.

Na mwanaume lazima afunze adabu, Otherwise atakua akitembea kifua mbele akichekelea kua yule jamaa nimemkulia mke wake yupo yupo tu

Akiliwa kidogo, Ata funga domo lake
 
Mwananke anaachwa.

Na mwanaume lazima afunze adabu, Otherwise atakua akitembea kifua mbele akichekelea kua yule jamaa nimemkulia mke wake yupo yupo tu

Akiliwa kidogo, Ata funga domo lake
Kumbe ndo mana mnawafilimba ili wadhoofike mazima wasije kujiona wao wajanja 😁
 
Mara nyingi yule anayefanyiwa hivi ni yule mwenye kiherehere. Wale wanaopiga na kuondoka huwa hayawakuti haya. Yule wa kujigandisha na kujimilikisha ndo hukutana na hizi kadhia.
 
Siku hizi? Mbona huo mchezo tangu zamani watu wanafanyiwa wakifumaniwa?
 
Hayo mambo yanaleta visa vikali sana baadaye,...pale mbeya kuna jamaa alipoteza familia yake nzima, baada ya kumlawiti dogo aliyekuwa anatembea na mke wake,...mabraza wa dogo aliye lawitiwa walipokuja, hawakuuliza mara mbili, ni mapanga familia yote ya jamaa aliyemlawiti dogo,....nikiwa chunya , jamaa waliporomoshewa vifusi shimoni makusudi kisa hayo hayo mambo...tatua matatizo kwa akili na sio nguvu wala mihemko,....
 
Mwanaume anayemshambulia mwanaume mwenzio kisa kutoka na mke wake ni mjinga , Kwa maana mwenye makosa ni mke wake , mke kamsaliti means hamuheshimu na hampendi ko anachotakiwa ni kuachana na huyo mwanamke na sio kumshambulia , aweke hasira pemben
Elewa kitu kimoja, Mwanaume hapambanii uzuri au kupendwa au wivu, Mwanaume huwa anapambania heshima.
Kabla ya kum diss mwanaume aliyepambana kuilinda heshima yake, ungetoa ushauri kwa aliyeamua kuivua pride ya mwenzake kwa kumgongea mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…