Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Pole mkuu.Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wameshenyetwa
Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni.
Inasemekana alitembea na mke wa mtu jamaa akawa anamlia timing jana usiku akaingia kwenye 18 za wahuni wakamshenyeta sana sijui kama atarudi hali yake ya kawaida kama zamani ama ndo kashaleftishwa kwenye urijali mazima
Watu wakamshauri akaishtaki lakini yeye mwenyewe nafsi ikamsuta kwa fedhea aliyoipata akapotezea.