Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

Sasa wamemshenyenta jamaa bila kumuadhibu na huyo mwanamke?

Ukute mwanamke ndo pepo lenyewe Sasa, litaenda kutafuta vijana wengine, bila kumwadhibu huyo mwanamke mbona watawashenyenta vijana wote watawamaliza.

Afu hio sio adhabu hiyo ni kutuongezea idadi ya wanawake tuu.

Unampa mtu adhabu ya kumshenyenta kumbe unatuongezea idadi ya wanawake,

Unataka wanaume tuanze Tena kusumbuliwa kushenyenta, maana tutazidiwa na wanawake Sasa lohhhhh
Ashukuru hawajamuua mana watu wa siku hizi wana hasira sana, mke hakuguswa
 
Mwanaume anayemshambulia mwanaume mwenzio kisa kutoka na mke wake ni mjinga , Kwa maana mwenye makosa ni mke wake , mke kamsaliti means hamuheshimu na hampendi ko anachotakiwa ni kuachana na huyo mwanamke na sio kumshambulia , aweke hasira pemben
 
Najua inaumiza kusalitiwa lakini ndo inavotakiwa huwezi lazimisha mapenzi na kumdhuru mtu aliyekusaliti piga chini move on
 
Dawa ukimkamata usimshenyete we mkate hako ka mkia kanakomsumbua ili asiharibu na kwa washkaji wengine
 
Vijana wako busy kubeba nondo wajaze vifua sisi tuko porini huko kupambana na dhahabu jua letu mvua yetu, mara umekutana na manyoka. Unarudi home usiku mkali kumbe kuna bwana mdogo kashalima shamba lako, saivi hatuongei sana ni vitendo tu
Noma sana kwahyo mpo kikazi zaidi hamcheki na kima 😁
 
Back
Top Bottom